Mimi najua mpira kuliko wewe sijisifii , Chelsea hata kama watafungwa , wameonesha mwanga wanaelekea wapiAcha unafiki wewe.
Chelsea wanacheza makida humo.
Huyu jamaa asirudi second half.Takataka Sterling eti imeanza mbele ya Mudrky na Madueke
Manjesta ana kiungo gani Cha Maana Kama Chelsea watafanikiwa kuwapata caicedo Lavia ongezea na Enzo,Na anawapa nafasi watamaliza juu ya man utd
Mkuu umesema kweli sana mkuuuManjesta ana kiungo gani Cha Maana Kama Chelsea watafanikiwa kuwapata caicedo Lavia ongezea na Enzo,
Hakuna DM sema tumekutana na vilema wenzetu otherwise asipopakitaka DM wa maana hata nafasi ya sita itakuwa mtihaniBackline ipo scattered sijui shidani nini.
Leo liver wanaexpose madhaifu ya back line yetu.
Sasa Liverpool anayejinasibu title Contender anacheza hivo,Hakuna DM sema tumekutana na vilema wenzetu otherwise asipopakitaka DM wa maana hata nafasi ya sita itakuwa mtihani
Malo Gusto na Ian maatsen bado wanaweza kucheza nyumaStyle ya mchezaji kama Wesley Fofana hafai kuwamnchezaji wa Chelsea
Mwaka wa pili anakula mshahara wa bure kwa sababu ya majeruhi ya kijingajinga
Medical team ifumuliwa na ipewe jukuma la kung'amua wachezaji wa naman yake ndipo Chelsea itakaa vizuri
Ona sasa leo mabeki wote waliopo wanacheza, akijeruhiwa mmoja sijui itakuwaje, Labda Poche atarudi kwenye backline ya 4
Nitashangaa sana akirudi kipindi cha pili.Kama tumekubali kuanza upya sijui kwa nini bado sterling yupo always poor decision making from senior player
Sterling takataka mpeleken manjesta1st half tumecheza vizuri, tumekosa qualities kwa Gallagher pale katikati.
Sterling amecheza vizuri sana, makosa madogo madogo tuu kama kawaida yake.
Uongo sio kazi, THE BLUES ya msimu huu tunashambulia sana. Magoli yapo
Sana tena sana kama hatokua na majeruhi mengi na akaaaminiwa basi tumeokota okoto zuriJackson ni mchezaji
Kuja lazima ajeKwa caisedo kuja Chelsea kma bado kizungumkuti hiv
Hio mid itaonekana atakapocheza na arsenal hapo EmiratesManjesta ana kiungo gani Cha Maana Kama Chelsea watafanikiwa kuwapata caicedo Lavia ongezea na Enzo,