Mmeanza kubanduliwaIna maana jezi zetu hazina chapa ya MAIN SPONSOR kifuani?
Acha unafiki wewe.Sasa Chelsea wanacheza Kama Wana mwalimu
Poch kocha mzuri ,ila huyu Sterling anawaangusha sana
Na anawapa nafasi watamaliza juu ya man utdAcha unafiki wewe.
Chelsea wanacheza makida humo.
Huyo jamaa always ni mropokaji tu.Na anawapa nafasi watamaliza juu ya man utd
Wamtoe aingie mwanetu ugochukwuSterling bado anacheza Epl tu,si aende uarabuni huko [emoji13]