Uhusiano mzuri ndio upewe tu mchezaji kama maandazi sio huyo olise sahauChelsea pia wamedhamiria kumsajili Michel Olise na tuna mahusiano mazuri na Crystal Palace, tumekuwa tukiwapa wachezaji wetu wazur kwa mkopo na kwa kuuza
Natumaini hawatatufanyia kama Brighton walivyotufanyia
View attachment 2714623
Olise ana rc mzee acha ubishiUhusiano mzuri ndio upewe tu mchezaji kama maandazi sio huyo olise sahau
Kuna watu wao wako tu hapa Jamii Forums labda kwa sababu ya lugha ya ughaibuni n i ngumu wakati sisi wengine tunaingia hadi jikoni kwenye habari, tukiileta hapa wanaanza mitusi na kujidhalilishaOlise ana rc mzee acha ubishi
Spurs waingie sokoni sasaKati ya mtu anayefurahi Kane kwenda Bundesliga ni Allan Sherer
Kane alibakiza goli 47 tu kuvunja rekodi yake ya kuwa mfungaji wa siku zote kwenye EPL
Sheerer amefunga magoli 260 na Kane 213
View attachment 2714654
Paniki ya nini we shoga olise haji Kwa mang'ombe fcKuna watu wao wako tu hapa Jamii Forums labda kwa sababu ya lugha ya ughaibuni n i ngumu wakati sisi wengine tunaingia hadi jikoni kwenye habari, tukiileta hapa wanaanza mitusi na kujidhalilisha
Mkuu unashida gani, kwanini unapenda sana lugha zisizo na stahaa.Paniki ya nini we shoga olise haji Kwa mang'ombe fc
Nimestaajabu sanaMkuu unashida gani, kwanini unapenda sana lugha zisizo na stahaa.
Huyo hata hastahili kuitwa mkuu, I sadi no!Mkuu unashida gani, kwanini unapenda sana lugha zisizo na stahaa.
Kaa mbali na Mimi mzeeMkuu unashida gani, kwanini unapenda sana lugha zisizo na stahaa.
Kwahiyo tukusaidiaje we ng'ombeAgent wa Adams na Adams mwenye walijua kuwa dili lao linaweza kuvunjika kwa kile kilichotokea jana usiku
Sasa wanasubiri kusajiliwa Brighton kwani Brighton wameshaonana na agent wa Adams
Acha uongo we jamaa ni liongo sanaIndependiente del Valle
Hawa jamaa ndio walimshauri Caicedo asubuhi kuwa asiende Liverpool na awape Chelsea nafasi ya kujitetea
Hii klabu inashiriki ligi kuu ya Ecuador na ndio klabu mabyo Caicedo aliicheza kwney timu ya vijana 2016-2019 na baadaye 2019-2020 akapandishwa kuichezea timu ya wakubwa ambapo aliichezea mwaka mmoja tu ndipo akaja England kusajiliwa na Seagulls
Ana kiburi sana yule Yankee[emoji23][emoji23][emoji23] anakupiga na mapesa usoni na matusi juu
Waje tuwape yule striker mijasho lakaka + Ziyech kama zawadi ,wakitaka na Odoi piaSpurs waingie sokoni sasa