Chelsea tunakaribia kuvunja rekodi yetu wenyeweWala siokweli, unadhani Caicedo akikubali kwenda Liverpool, Liverpool hawatoi?
Hata sisi kwa Rice tuliambiwa hivo hivo eti waliingia kupandisha Bei, sikweli Nia walikuwa nayo
Hapo ni kuzidiana , Chelsea amefanya groundwork muda mrefu Sana ,ni ngumu mchezaji kuwasaliti
Liverpool walimuita Leo kwa medical kawagomea
Arsenal tulifanya groundwork kwa Rice kwa miezi 6, inakuwa ngumu mchezaji kuwagomea hata aje mwingine ajitie kimbelembele
Kama mngemtaka caicedo siku 2 tatu hizi na liver nae angeingia siku 2 tatu hizi, Basi yeyote angeshindaKuna tweet niliweka kule kwenye akaunti yangu ya Tweete juzi kuwa
"Timu itakayoshikaman na mchezaji ndiyo itakayoshinda"
Baadaye walipokuja Liverpool kutoa bid yao na niliposoma Caicedo anaenda Liverpool nikafuta, sasa najuta kwa nini nilifuta kwa sababu ndiyo ingekuwa quote yangu kwamba mawazo yango yalikuwa sahihi
Sisi Chelsea tulijifunza sana kwenye dili za Kounde na Raphinha na naona sasa inatupa matunda mazuri
Liverpool nao watajifunza kwa hili dili la Caicedo kuwa usidandie lori kabla hujapatana na dereva
Nyie ndio mlidandia dili LA lavia sisi huyo caicedo hatuna time nae tunaamua Sasa tuwakomoe sasa subiri I Bei ya Brighton watayokuja nayo🤣🤣🤣Kuna tweet niliweka kule kwenye akaunti yangu ya Tweete juzi kuwa
"Timu itakayoshikaman na mchezaji ndiyo itakayoshinda"
Baadaye walipokuja Liverpool kutoa bid yao na niliposoma Caicedo anaenda Liverpool nikafuta, sasa najuta kwa nini nilifuta kwa sababu ndiyo ingekuwa quote yangu kwamba mawazo yango yalikuwa sahihi
Sisi Chelsea tulijifunza sana kwenye dili za Kounde na Raphinha na naona sasa inatupa matunda mazuri
Liverpool nao watajifunza kwa hili dili la Caicedo kuwa usidandie lori kabla hujapatana na dereva
Lavia siyo mchezaji wa kutegemea. Hajafikia profile ya CaisedoHivyo ndio tunavyopenda sisi wazee wa anfield mtu apigwe 115 halafu sisi tunarudi Kwa lavia hahahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajichekesha chekeshaa Kama Malaya wa Riverside nini sasa? Kaa kwa Kutulia msijitie kutag Ubavu na Wanaume.Ndio tunataka hivyo sisi mtu apigwe 115 maana walishobokea dili letu LA lavia hahahahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aende anapopatakaMoises Caicedo has told close family and friends. He only wants to JOIN Chelsea.
Now expect him to become a Chelsea player.
- @TheSecretScout_
Kuna mbinu Gani chafu umetumia we matacall shoga kabisa wewe yaani sisi huyo caicedo hatuna time nae sema tumawaingiza Cha like Ili mpigwe kisawasawa sababu mnashoboka kwenye madili ya watu ***** wewe wanakunusa nyuma sioUnajichekesha chekeshaa Kama Malaya wa Riverside nini sasa? Kaa kwa Kutulia msijitie kutag Ubavu na Wanaume.
Umekaa unabisha bisha kama ni Mgeni wa Sajili za Aina Hii ya Kugombea mchezaji kwa kutumia Mbinu chafu. Au ww ni Lena kweny Ushabiki wa Mpira?
Endelea kuotaLavia siyo mchezaji wa kutegemea. Hajafikia profile ya Caisedo
Tulia ivyo ivyo usishangane na Huyo Lavia tukapita naye. Nyie mmeshajichokea tayari kwenye suala la matumizi ya Pesa kununua wachezaji na ndo kitamuondoa Klopp paleNyie ndio mlidandia dili LA lavia sisi huyo caicedo hatuna time nae tunaamua Sasa tuwakomoe sasa subiri I Bei ya Brighton watayokuja nayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuliza kinyeo hicho utakipoza boya wewe eti huyo lavia tukapita nae hapo mshapigwa Brighton wajanja sana ***** wewe kama huwajui unakumbuka cucurelaTulia ivyo ivyo usishangane na Huyo Lavia tukapita naye. Nyie mmeshajichokea tayari kwenye suala la matumizi ya Pesa kununua wachezaji na ndo kitamuondoa Klopp pale
Sasa Wewe ishia Kutukana na kujaribu kujikuta mjuaji na Timu yako hiyo. Binafsi matusi yako hayanitetereshi popote zaidi kwamba nakuona ni Juha usiye na uelewa wowoteKuna mbinu Gani chafu umetumia we matacall shoga kabisa wewe yaani sisi huyo caicedo hatuna time nae sema tumawaingiza Cha like Ili mpigwe kisawasawa sababu mnashoboka kwenye madili ya watu ***** wewe wanakunusa nyuma sio
***** wewe na Mimi nani kaazna kutukana au umeishiwa pointi shoga wewe angalia huko nyuma tuta kufirahiSasa Wewe ishia Kutukana na kujaribu kujikuta mjuaji na Timu yako hiyo. Binafsi matusi yako hayanitetereshi popote zaidi kwamba nakuona ni Juha usiye na uelewa wowote
Hawa watukanaji msiwe mnawajibuSasa Wewe ishia Kutukana na kujaribu kujikuta mjuaji na Timu yako hiyo. Binafsi matusi yako hayanitetereshi popote zaidi kwamba nakuona ni Juha usiye na uelewa wowote
Inavyoonyesha Una matatizo ya Akili naomba nisiendelee kujadili lolote na wewe.Tuliza kinyeo hicho utakipoza boya wewe eti huyo lavia tukapita nae hapo mshapigwa Brighton wajanja sana ***** wewe kama huwajui unakumbuka cucurela
Safari hii mkijartibu mtakula chumaNyie ndio mlidandia dili LA lavia sisi huyo caicedo hatuna time nae tunaamua Sasa tuwakomoe sasa subiri I Bei ya Brighton watayokuja nayo🤣🤣🤣
***** wewe ungekua unajua na matatizo usinge nijibu fara mmoja tu wewe unaanzisha matusi halafu unalila Lia angalia utauponza shoga weweInavyoonyesha Una matatizo ya Akili naomba nisiendelee kujadili lolote na wewe.
Nikiangalia post zako huku toka ulipoanza kushangilia na kufurahia Alichokifanya Liverpool ndo najua uwezo wako wa Masuala ya Michezo upo vp
Aisee imebidi nichekeLiverpool ndio anaenda kuumia ,kiungo atakayemtaka lazima apigwe si wanajua ana £110m