Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Nani kakupa taarifa wewe mbona muongo sana Chelsea mbona hawakujuiTaarifa tulizopewa kutoka ndani ya uongozi wa Chelsea ni kwamba Chelsea wako tayari kulipa zaidi ya walichotoa Liverpool ili tu kumpata mlengwa wao namba moja tangu mwezi wa tano
Halafu Kama hujui Sasa Romano ni mchumba tu ,Kuna miamba sema nyie malayman mnamjua Romano tuTaja chanzo. Cha uhakika kinachomzidi Fabrizio romano
Naomba uendelee kuwepo hapa hapa ,hii ngoma bado mbichi, mlichokosea hamkumaliza Personal term,kitu ambacho wenzenu walifanya , thus why Hadi Sasa caicedo yupo bado London na mizigo yakeNani kakupa taarifa wewe mbona muongo sana Chelsea mbona hawakujui
Fabrizio Romano unayemuamini msikie hapa [emoji107][emoji107]Nani kakupa taarifa wewe mbona muongo sana Chelsea mbona hawakujui
We matacall kweli yaani upo bongo uwajue mashabiki wa Liverpool lialia Kaa hivyo hivyo yaani epl hamna mchezaji ataetakiwa na klopp tumkose endelea kuota yaani muda wote washindwa kumchukua eti wapande dau okay tutaenda mpaka 250 wenyewe si walileta wenge Kwa laviaHalafu Kama hujui Sasa Romano ni mchumba tu ,Kuna miamba sema nyie malayman mnamjua Romano tu
Mellisa redy wa sky sport mshabiki wa Liverpool lialia wanasema Ngoma ya Caicedo imeanza kugeuka
Sasa Hadi muda huu Chelsea ana 60% Liverpool 40%
Sources have told Football London Chelsea plan to make a new offer and are still confident.
(@BobbyVincentFL)
Naomba uendelee kuwepo hapa hapa ,hii ngoma bado mbichi, mlichokosea hamkumaliza Personal term,kitu ambacho wenzenu walifanya , thus why Hadi Sasa caicedo yupo bado London na mizigo yake we mkewe mpaka useme yupo london
Fabrizio kakaa kimya kwa sababu hiyo hiyoHao watu wanaolipoti mbona ni takataka aisee sisi tunaemjua ni Fabrizio romano🤣🤣🤣
Matusi yanakusaidia NiniWe matacall kweli yaani upo bongo uwajue mashabiki wa Liverpool lialia Kaa hivyo hivyo yaani epl hamna mchezaji ataetakiwa na klopp tumkose endelea kuota yaani muda wote washindwa kumchukua eti wapande dau okay tutaenda mpaka 250 wenyewe si walileta wenge Kwa lavia
Sasa hata tukimkosa wewe si matacall tuMatusi yanakusaidia Nini
Dah Kuna watu sijui mkoje ,kwa kunitukana bila kosa , Sasa napiga Sala mumkose ,huwezi ukanitukana bure bure tu
Caicedo yupo London, Hadi jion Chelsea anatuma £115+mFabrizio kakaa kimya kwa sababu hiyo hiyo
Hajasema "here we go"
Haya Fabrizio Romano huyo hapo anaema MAMBO BADO mpaka mkataba usainiweHao watu wanaolipoti mbona ni takataka aisee sisi tunaemjua ni Fabrizio romano🤣🤣🤣
Mashabiki wa CHELSIX huwa hawajui kubishana na utani bila Matusi.Matusi yanakusaidia Nini
Dah Kuna watu sijui mkoje ,kwa kunitukana bila kosa , Sasa napiga Sala mumkose ,huwezi ukanitukana bure bure tu
Huyo mshabiki wa Liverpool ananitusi bila kosa ,Mashabiki wa CHELSIX huwa hawajui kubishana na utani bila Matusi.
This is crazy.Ameikataa Liverpool [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2714476
Ngoma imeisha , amesema anasimamia msimamo wake
Haya huyo Fabrizio Romano tenaHao watu wanaolipoti mbona ni takataka aisee sisi tunaemjua ni Fabrizio romano🤣🤣🤣