Liverpool ni very tricky sana kwenye mambo ya transfers hayaLiverpool wameshindwa kumnunua Lavia kwa mil 50 je wataweza kufikia hitaji la Brighton kwa Caicedo?
Kuna tetesi kuwa Brighton wanawatumia Liverpool kwa malengo mawili yenye kufaidisha pande mbili
Kwa Brighton Chelsea waongeze thamani ya bid lao
Kwa Liverpool ili Chelsea waachane na kumfukuzia Lavia waweke muda wao kubwa kwa dili la Caicedo
It's only that they don't value Lavia at £50M, that doesn't mean hawana pesa ya usajiri. Wadau mnasahau kilichotupata wakati tunamtaka Allison? Tuliishia kupanic na kumnunua KepaLiverpool wameshindwa kumnunua Lavia kwa mil 50 je wataweza kufikia hitaji la Brighton kwa Caicedo?
Kuna tetesi kuwa Brighton wanawatumia Liverpool kwa malengo mawili yenye kufaidisha pande mbili
Kwa Brighton Chelsea waongeze thamani ya bid lao
Kwa Liverpool ili Chelsea waachane na kumfukuzia Lavia waweke muda wao kubwa kwa dili la Caicedo
Klopp nasikia anondoka January sababu kubwa hapewi pesa za usajiliIt's only that they don't value Lavia at £50M, that doesn't mean hawana pesa ya usajiri. Wadau mnasahau kilichotupata wakati tunamtaka Allison? Tuliishia kupanic na kumnunua Kepa
So do BrightonLiverpool ni very tricky sana kwenye mambo ya transfers haya
Hizo habari ni za muda mrefu, Liverpool ni tricky sanaKlopp nasikia anondoka January sababu kubwa hapewi pesa za usajili
Endelea kuamin hivyo[emoji1787]Klopp nasikia anondoka January sababu kubwa hapewi pesa za usajili
Usajiri ❌It's only that they don't value Lavia at £50M, that doesn't mean hawana pesa ya usajiri. Wadau mnasahau kilichotupata wakati tunamtaka Allison? Tuliishia kupanic na kumnunua Kepa
Caicedo hajawahi kuwa na msimamo , aliwaaminisha na mkajua mwisho mtamchukua ,Ni aibu sio kwa sababu Liverpool wameshinda dili BALI kwa sababu tulipoteza muda na historia itatuhukumu. Tuna wakati wote duniani kumaliza hilo dili la Caiocedo lakini mbinu yetu imekuwa mbaya zaidi ya vizazi vyote. Natumai tuna plan B nzuri ambayo sio ya Lavia.
Ujinga huu. kweli tuna matajiri miluzi
Miezi mitatu, tumepoteza muda kuwaajiri watoto na kuacha startegic players kama Caicedo anakwenda kwa rivals
Kosa tu ni kwenda kufanya ujinga wa kumchukua Lavia
Hii ndo michezo michezo ya Liver. Uhuni mwingi sana na nilisema mapemaHata Liverpool kaweka £110m mezani ,
(🟢) BREAKING:
Liverpool submitted their official bid for Moisés Caicedo tonight and Brighton are set to accept! LFC bid, set to break English transfer record — up to £110m total fee.
Moisés Caicedo will become Liverpool player on Friday, if all goes to plan.
[@FabrizioRomano]
Bidding 100M katika siku ambayo mwenzako ametuma zaidi hiyo ni ujinga wa hali ya juu kutoka kwa madirector wetu na boehly.Ni aibu sio kwa sababu Liverpool wameshinda dili BALI kwa sababu tulipoteza muda na historia itatuhukumu. Tuna wakati wote duniani kumaliza hilo dili la Caiocedo lakini mbinu yetu imekuwa mbaya zaidi ya vizazi vyote. Natumai tuna plan B nzuri ambayo sio ya Lavia.
Ujinga huu. kweli tuna matajiri miluzi
Miezi mitatu, tumepoteza muda kuwaajiri watoto na kuacha startegic players kama Caicedo anakwenda kwa rivals
Kosa tu ni kwenda kufanya ujinga wa kumchukua Lavia
Wewe uliliona ,ila mwenzako alikaza SHINGO...alkasema Liverpool Hana hiyo pesa,kwakuwa TU ameshindwa kufika 50£ miln kw lavia...UKWELI NI KWAMBA WALIONA HANA HIYO THAMAN,KULINGAN NA EXPERIENCE ALOKUWA NAYO...Hii ndo michezo michezo ya Liver. Uhuni mwingi sana na nilisema mapema
Na Chelsea ijifunze sasa kuwa wepesi kwenye transfer zao. Tumepoteza muda na nguvu kwenye hii issue ya Caisedo, tunapaswa kuwa sharp sasa.Wewe uliliona ,ila mwenzako alikaza SHINGO...alkasema Liverpool Hana hiyo pesa,kwakuwa TU ameshindwa kufika 50£ miln kw lavia...UKWELI NI KWAMBA WALIONA HANA HIYO THAMAN,KULINGAN NA EXPERIENCE ALOKUWA NAYO...
Oyaa amka usingizini na uache kuwa mchambuzi hisiaLiverpool wameshindwa kumnunua Lavia kwa mil 50 je wataweza kufikia hitaji la Brighton kwa Caicedo?
Kuna tetesi kuwa Brighton wanawatumia Liverpool kwa malengo mawili yenye kufaidisha pande mbili
Kwa Brighton Chelsea waongeze thamani ya bid lao
Kwa Liverpool ili Chelsea waachane na kumfukuzia Lavia waweke muda wao kubwa kwa dili la Caicedo
Mkuu, huku tunaumia lakini sidhan Kam pochettino na bodi walikua wanamuona kama target ya ku-secure mapema, kama ni tofauti na niwazavyo basi hata kwa 120m anakuja darajani.Una uhakika madirector walikuwa wanamtaka Caicedo?
Una uhakika Pochetino alikuwa anamtaka Caicedo?