Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie wehu hawa YOSO mnao wasajili ndiyo wafanye nn EPL?
Mtakua wa 14 league ya 2023/24
Malyafale mwana kuku halisia za siku mingi mtani
Hao yoso chunga tobo zako jumapili kwa sababu watakutoboa umesimama
 
Nyie mazulumati hivi hapo darajani wachezaji wenu mnawalishaga nini mbona miguu yao imelegea sana kama wamemwagiwa mlenda?
Huyo Freemason na Harvez golini hata wakibaki wenyewe tu miguu inatetemeka hata kupiga shuti hawawezi wanaishia kutoa pasi kwa kipa.
Wajaa laana nyie njooni mchukue mafurushi yenu mturudishie pesa zetu.
 
HII IMEENDA!

Tulijua ni Suala la Muda tu. Tuliwaambia mkatubeza. Pambaneni naoo
 
HII IMEENDA!

Tulijua ni Suala la Muda tu. Tuliwaambia mkatubeza. Pambaneni naoo
Muda wowote kuanzia sasa kuna sheria mpya inataka kupitishwa England, inaelezea kufanya biashara yoyote na Chelsea itatambulika kama ni biashara haramu.
Mancity nao wameshaanza kulia na Kovacic, kwenye jukwaa lao tokea jana wameanzisha maombolezo ya kuondokewa na Gundogan [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna vitu tunapika hapa darajani ila watani wetu kama akina Livakuku, Arse8, Amnure wanajifanya hawaoni wala hawajui

--------------------Jackson/Dusan--------------------------

Mudryk/Nkunku-------Maatsen/Chukwuemeka -------Madueke/Olise

------------Enzo/Tyler -------------- Caicedo/Santos--------------

Chilwell/Cucurella ----Colwill/Badiashile ----Silva/Axel ----James/Malo

------------------------Kepa/Sanchez----------------------------
 
Bado tuna wakaribisha tena mje tufanye biashara wachezaji bado wapo wengi tunauza
 
Vp tuwauzie Cucurella? Atawasaidia sana maana anapanda na ana miguu yote ya kushoto[emoji2962][emoji2962][emoji2962]
Nishasema biashara yoyote inayofanywa na Chelsea ni biashara haramu, tena huyo Kuku sio hata kuku ni kware kabisa.
FA nasikia wanampango wa kuwafungia kuuza wachezaji maana malalamiko yamekua ni mengi sana kwa timu zote zilizonunua wachezaji kutoka kwenu.
 
Mbona sisi wametuuzia MVP wao Kai havertz anafanya vzr kwetu, nyie ndio mmetapeliwa kwa mount[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mnachouza hapo darajani sio wachezaji ni mabiringanya, maparachichi, matikiti, mafenesi, bamia na mastafeli.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
MVP wetu ni Thiago Silva Ndio amechaguliwa na club kupitia kura za mashabiki
Kai mnamchukia ila sababu Silva alicheza vzr hasa backline alikuwa lazima ashinde ,ila kihalisia Kai kitakwimu alikuwa vzr kuliko wote
 
Mbona sisi wametuuzia MVP wao Kai havertz anafanya vzr kwetu, nyie ndio mmetapeliwa kwa mount[emoji1787][emoji1787]
Kai ni vile wewe ni kipenzi chako tu kama ilivyo mimi kwa Masebene ndio maana unajitahidi sana kumpigapiga makeup aonekane nae ni pisikali hata kama hana tako.
Huko Uingereza naskia kuna mpango wa maandamano nchi nzima kupinga biashara za kitapeli zinazofanywa na club ya Chelsea.
Timu zote walizonunua wachezaji toka Chelsea mashabiki wao wanalia na kusaga meno.
 
Dah , [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Starling yupo mbioni kuja Old tranford.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…