Ila Chelsea mnahitaji maombi kila siku mnasajili.Chelsea wamefikia makubaliano na Juventus kumnunua Dušan Vlahovic kwa kubadilishana na Remelu Lukaku pamoja na ada ya £20m. Tukumbuke kuwa Juventus walikuwa wanataka kwa Vlahovic £60m na Chelsea tulikuwa tukimuuza Lukaku kwa £40m. Kwa wanaojua mahesabu nadhani haya hapa hayachanganyi
View attachment 2704320
View attachment 2704321
Hii ni good newsBreaking News
Levi Colwill (20yo) asaini mkataba na Chelsea wa miaka sita hadi 2029
Kwa wasiomjua Colwill ni beki ambaye yuko composed kama style ya Terry, ktk umri mdogo ni mzuri sana kwenye pasi zile za kubreak lines na long passes. Mabeki wengi wachanga ni ngumu sana kuwa na accuracy ya kupasi hizo pasi bila kiupoteza mpira. Mabeki wengi wanakuwa na uwezo huo baada ya miaka kama 5 wakicheza mechi mfululizo EPL
Badiashile naye anaweza hizo ila sio kama Colwil
Matajiri miluzi lakini wanajua kupika tusiseme uongo.
View attachment 2704319
View attachment 2704318
Kama kweli litafanikiwa hili deal itakua poa sana. Imagine pale mbele Poch anaamua leo aanze Jackson au DusanChelsea wamefikia makubaliano na Juventus kumnunua Dušan Vlahovic kwa kubadilishana na Remelu Lukaku pamoja na ada ya £20m. Tukumbuke kuwa Juventus walikuwa wanataka kwa Vlahovic £60m na Chelsea tulikuwa tukimuuza Lukaku kwa £40m. Kwa wanaojua mahesabu nadhani haya hapa hayachanganyi
View attachment 2704320
View attachment 2704321
Kama kweli litafanikiwa hili deal itakua poa sana. Imagine pale mbele Poch anaamua leo aanze Jackson au Dusan
Ni kqeli Caicedo ni mzuri sana kwenye kuua mashambulizi na hata kupandisha timu kwa kupiga pass ndefu. Brighton wanajua kwa jinsi gani tunahitaji DM ndio maana wamekaza kutaka kutupiga parefuYule Dogo wa Brighton tukimpata then acheze na Enzo naamini kabisa tutakuwa sehemu nzuri this season. Wacha watubeze tu. Yule dogo ni type ya kante amini nawaambia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila Chelsea mnahitaji maombi kila siku mnasajili.
Nyie si tayari mmepata striker "New Drogba" N. Jackson mwamba kaanza kukiwasha fresh tu anafunga, ana assist ana udambu dambu sio selfish. Mna Armando Broja, mna Nkunku.
Last season mlikua mnae yule Datro Fofana ila hata hamkumpa chance Harvetz kila mechi bandika bandua.
Sasa huyu Vlahovic mnataka kumsajili wa kazi gani.
Hajasaini kumbe ni maelewano tu, amepewa muda wa kufikiri na kuamuaHii ni good news
Angalia alivyokuwa anawafanyia akina Gallagher, Enzo, Kovacic, na wengineo wa ChelseaYule Dogo wa Brighton tukimpata then acheze na Enzo naamini kabisa tutakuwa sehemu nzuri this season. Wacha watubeze tu. Yule dogo ni type ya kante amini nawaambia
Sasa tayari, signed and sealHii ni good news
Ameshasinya na jana amewaaga Brighton kupitia post ya InstagramHajasaini kumbe ni maelewano tu, amepewa muda wa kufikiri na kuamua
Jamaa ni Caicedo ila ana uKante ndani yakeAngalieni jamani Caicedo alichokuwa akiwafanyia akina Gallagher, Enzo, Kovacic, na wachezaji wengine wa Chelsea.
Ukabaji wa maajabu kabisa tu tumsajili bila kupoteza muda tafadhali
View attachment 2705703