Kuna uwezekano mkubwa Rayn Cherki akamfuata meti wake wa Malo Gusto darajani.
Chelsea wanajiandaa kupeleka ofa Lyon ya kumsajili Cherki
Better than Veiga
Better than Havertz
Better thana Mount
Just at 19yo
Kwa maoni yangu
View attachment 2685283
View attachment 2685281
Ila Cherki huwezi mlinganisha na NicoDogo yuko vizuri, binafsi namkubali sana. Huu usajili mimi nauunga mkono ila sio ule wa Jackson.
Ila Cherki huwezi mlinganisha na Nico
Cherki anacheza nafasi ya CAM/No 10 au winga wa kulia, Nico yeye ni striker
Aisee mimi naona tu ni bora wakomae naye hata ikibidi walipe hiyo mil 100, DM kama Caicedo mwenye umri mdogo na aliyekwisha komaa, aliyeko sokoni kwa sasa ni ngumu kumpata
Si waachane nae, watafute mwingine? kwani dunia nzima yupo mwenyew.
Jackson wako jako msukuma pale mmepigwa[emoji1787][emoji1787]Dogo yuko vizuri, binafsi namkubali sana. Huu usajili mimi nauunga mkono ila sio ule wa Jackson.
Mpaka nashindwa kuelewa huwa uongozi unaplan zipi wanapomnunua mchezaji. Fofana alihitaji kuaminiwa na apewe muda kuzoea ligi. Ndio maana wachezaji kama hao wakienda Brighton wanaaminiwa wanapewa muda na wanakuja kuwa wachezaji wa mil 100Na msimu ulioisha tumefanya upuuzi sana wa kutompa muda wa kutosha yule dogo Fofana kucheza ,tunafail sana . Mtu lazy kama Havettz ndio alikuwa anapewa muda sana ,huu ni ujinga ,Datro Fofana hakupewa muda kabisa
Anakaribia umri wa Kante, si bora tungembakiza KanteBranco van den Boomen ni DM mzuri tu ila tunataka kupigwa kwa Caisedo.
Kwahiyo chelsea mshambuliaji alobaki ni nani?
Ngoja tuone japo Brighton ni wakuda kweli kweli wanataka 105 mkononiView attachment 2685150
Mademu wa Chelsea wazuri bana sio kama hao wa Arsenal
Ila Kuna utamu kuifunga Manchester naona maana kila uzi ukipita kila timu inaiwaza kuifumua man u tu dah[emoji16][emoji16]2023/2024 = 4 - 2 - 3 - 1
------------ Jackson ------------
Mudyk - Nkunku - Madueke
------- Caicedo ---- Enzo --------
Chil - Colwil - Silva - James
[emoji117] Lazima tumchane chane nyumbu placenta.
Hiiii Chelsea hata sijui inataka wachezaji kuyoka sayari gani ssa kma wachezaji wazuri halafu unawatoa kwa mkopoMpaka nashindwa kuelewa huwa uongozi unaplan zipi wanapomnunua mchezaji. Fofana alihitaji kuaminiwa na apewe muda kuzoea ligi. Ndio maana wachezaji kama hao wakienda Brighton wanaaminiwa wanapewa muda na wanakuja kuwa wachezaji wa mil 100