A:- Silaha za Nuclear
1. Mudyk
2. Nkunku
3. Jackson
4. Madueke
B:- Maji washawasha
1. Enzo
2. Santos
3. Caicedo
C:- Kamikaze/Silaha ya kujitoa mhanga
1. Sterling
Kweli arsenal hamna akili tumemsajili nkuku, jackson na soon caicedo bado Chelsea inafanya inachokitaka kwenye soko la usajili.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo Caicedo mmemsajii lini
Mudrky huyo hawana tofaut na Sterling nafas 10, Goli 1
EPL hii unataka kushindana unaweka kina Santos, serious?
Chelsea ile yakusajili miamba kweli kweli imeshaondoka , Sasa hivi mmekuwa nyuki wa mashineni
Na tutamuongeza vlahovic kama striker soon[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo Caicedo mmemsajii lini
Mudrky huyo hawana tofaut na Sterling nafas 10, Goli 1
EPL hii unataka kushindana unaweka kina Santos, serious?
Chelsea ile yakusajili miamba kweli kweli imeshaondoka , Sasa hivi mmekuwa nyuki wa mashineni
Huyo jamaa amekuwa ovyo tofauti na ilivyotarajiwa , Juve Wanataka mapema kurudisha pesa yao waliyomnunuliaNa tutamuongeza vlahovic kama striker soon
Pochetino anamtengeneza kama alivyomtengeneza KaneHuyo jamaa amekuwa ovyo tofauti na ilivyotarajiwa , Juve Wanataka mapema kurudisha pesa yao waliyomnunulia
Kabisa huyu dogo me simkubali ata kidogo ni mjinga mjinga tu kama mount yani ana akili ya kipumbavu mnoHawa madogo wa kiingereza sijui kwanini tunawaendekeza sana , huyu Colwill anakiburi sana kama cha akina Mount ,type ya wachezaji wa kipuuz kama hawa sio ya kuintertain ,huyu dogo angeuzwa hata kwa 50 milion euro tukapata pesa ya kusajili miamba wengine ,kuna madogo wana talents za maana tu hapo Portugal na Brazil
Wapuuz kama hawa ndio wanaokuja kuchafua dressing room
Toka inter awatapeli £100m , wamekuwa wakifanya biashara kichaa kila msimu kwa mchezaji Huyo Huyo[emoji1787][emoji1787]Hivi nyie chelsae na Inter mlilogwa kuhusu biashara ya Rukaku?
Kila msimu mnauzianaga mchezaji mmoja [emoji23][emoji23][emoji23]
Jackson hana Goli la Kichwa msimu uliopita licha ya kuwa na Urefu wa 6'2ft [emoji855]. Pia Hana Goli nje ya Box[emoji275][emoji23] tukutane msimu ujao kwenye moja na mbili
Ona hii kondoo imepotea njia, hujui Arteta msimu unaonza ndio hilo panga linamuhusu, yeye amepewa hela ameishia kununua mchezaji mmoja na watu wanataka waone kombe sio kushika nafasi ya pili.[emoji599]BREAKING: Mauricio Pochettino has been sacked by Chelsea
Sorry, Just practicing for December[emoji2][emoji3]