Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe ndo ukae kimya tena uwezi kumaliza wiki ujaitaja man u kwanza man u iliyofilisika inaweza kuwa Mpaka na 120 ya usajili wakati hata arsenyani hela kama hizi uwaga aina.
 
BREAKING NEWS: HARRY KANE TO CHELSEA

Tukimsajili huyu, Ligi tumebeba
UEFA tumebeba
FA tumebeba
Hata makombe yale ya mbuzi na panya tumebeba

Exclusive: Chelsea have asked @SpursOfficial for permission to start talks with @HKane
Chelseafc are ready to pay asking price, #thfc last resort would be selling to @premierleague
rivals. #cfc
 
Baba Rahman amekaa miaka nane bila kuichezea Chelsea, mikopo mikopo hadi anaachiwa huru akiwa na miaka 29

 
Wewe ndo ukae kimya tena uwezi kumaliza wiki ujaitaja man u kwanza man u iliyofilisika inaweza kuwa Mpaka na 120 ya usajili wakati hata arsenyani hela kama hizi uwaga aina.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]oya kwasasa manjesta imefilisika ,siunaona pamoja na kuingia UCL ,lakini njaa Kali , tembezeni bakuli
 
Amecheza ligi ya ujerumani ameshindwa kufunga hata goal 1
 
1. Arsenal signed 3 players in January
Leandro Trossard
Jakub Kiwior
Jorginho.

🟩 They Finished second

Man City signed only 1 player:
Maximo Perrone

🟩 They were PL Champions

Newcastle Signed 1 player
Harrison Ashby

🟩 They finished 4th

Man Utd signed 3 players:
Jack Butland
Marcel Sabitzer
Wout Weghorst

🟩 They finished 3rd

Tottenham signed 2 players
Arnaut Danjuma
Pedro Porro

🟩 They finished 8th

Even Liverpool signed 1 player:
Cody Gakpo

🟩 They finished 5th

Now here come the Mighty London Cowboys who signed
Wesley Fofana
Marc Cucurella
Raheem Sterling
Kalidou Koulibaly
Carney Chukwuemeka
Pierre-Emerick Aubameyang
Gabriel Slonina
Denis Zakaria
Mykhailo Mudryk
Benoît Badiashile
Noni Madueke
Andrey Santos
David Datro Fofana
João Félix
Gabriel Slonina
Malo Gusto
Clever Muzuva,
Raymond Undi,
kabiru Danazumi
Chukudi Nathan
Austine Loss
Mendes Luis
Luis fonsi
Despacitor Karavas
Justin Bieber
Johny Heaven
Johnny Sins
Brother Bernard
Tiote Malumbu
Oscar Benitez
Confuse Lucas
Enzo Fernández

[emoji777] They finished 12th after all their terrorist threats

Now they are signing average players and renewing their terrorism again... I laugh [emoji23]..

[emoji599][emoji599][emoji599]
The only achievement Chelsea brought this year is dreaming of achieving their achievement.
 
Matani ya ngumi haya
 
Hao wengine walikuwa hawajengi ndio maana wamesajili wachache
Sisi bado tunajenga leo mtatusodoa ila kesho mtatupigia magoti na saluti
Pumbaf kabisa nyie
 
Dili la Caisedo ni kama limeisha

Mrejesho huu hapa

Chelsea wametoa Paundi mil 75 na addons za mil 10
Chelsea na Brighton sasa wamejikita kwenye mfumo mzuri wa malipo

Bayern Munich walijitoa kwa sababu walipomuendea wakalaw a Caicedo walikuta Caicedo tayari alikuwa na mkataba wa mdomo na Chelsea - Christian Falk


Hata hizi takataka zingine nahisi walifyata mkia kwa sabbau hiyo hiyo

Caisedo alishaichagua Chelsea

 
wazee wa chelwowo fc mnavyojadiliana huku mtasema nyie ndo watoa pesa za kusajili kumbe mnabweka tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…