Vikao vya Harusi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 532
- 165
Nilipotea kwa siku mbili; nimefurahi sana kukuta wadau mnaendelea na mijadala yenye afya na hadhi. Huo ndo ushabiki ambao sisi watu wa JF tunapaswa kuijenga; ushabiki wa kitaalamu. Asanteni majirani zetu; Rockcity native, Katavi, Nakapanya, Dully Jr; pamoja na wenzangu wa Chelsea Mentor, Ntuzu na wengine..
Oscar ni mchezaji matata sana. Alikuwa akipiga mpira wa adhabuMtoto oscar anaifurahisha sana leo
Chelsea 1 stoke 0
Schuller Naona Amekua mzembe?!
kwa nini mkuu?
Naona Leo hajacheza vizuri kabisa na ninafikiri bench linamuathiri!
huenda.
Ndo maana leo kucheza kutamwongezea uwezo wa kujiamini. Unajua tuna watu wengi katika namba yake. Ndo maa ilibidi kijana Kelvin De Bruyne aondoke; kucheza ni vigumu mafundi wengi.
Kiukweli mie nimefurahi sana kuondoka kwa Matta. nilikua naona kama ana haribu uchezaji wa Hazard na Oscar. Ulifuatilia uchezaji wa Oscar na Hazard wakipangwa na Matta unakuwaga hovyo sana. Chenga na mbwembwe nyingi hadi wananyang'wa mpira inapigwa counter attack then tunafungwa.
Huyu sasa ndio Oscar na Hazard wetu. Wananifurahisha sana leo.