Hivi anaondoka kwa chelsea kupata mkwanja au ni bure?Kwaheri Azpilicueta
Mimi namuweka Azpi kwenye Legend wa digrii ya kwanza sawasa na akian Terry, Lampard, Drogba na wengineo walioichezea Chelsea kwa kujitoa bila tamaa ya hapa na pale na kuitakia Chelsea ushindi na ubingwa wakati wowote
Angalia hata jinsi alivyoondoka, kwa heshima zote
Pia angalia hata alikuwa hal;ipwi sana, ila hakulalamika
View attachment 2666788
Thiago silva au Reece JamesSasa ni muda muafaka kumchagua Kapteni wa Chelsea
Kapteni msaidizi alisepa january na sasa Kampteni mkuu anaondoka
Mawazo ya nani awe Kampteni mpya
Mount kapishana na ukapteni
- Reece James
- Kepa Arrizabalaga
- Sterling
- Thiago Silva
- Enzo Fernandez
Chelsea wataukatisha mkataba wake kwa kumheshimu, Azpilicueta aliomba kwenda kupata uzoefu kwingine na ni baada ya kukubaliana terms na Intermilan. Sasa kwa heshima Azpilicueta aliyonayo pale darajani, uongozi uliamua kutomzuia kwenda. This is our truly LEGENDHivi anaondoka kwa chelsea kupata mkwanja au ni bure?
Huyo steering toa kabisa maana hata kubaki hapo sioni kwa nni ? Angeondoka tu hapo nae atupishe na pulic nae kwa nn hakuna timu inayomtaka na auba inayomtakaSasa ni muda muafaka kumchagua Kapteni wa Chelsea
Kapteni msaidizi alisepa january na sasa Kampteni mkuu anaondoka
Mawazo ya nani awe Kampteni mpya
Mount kapishana na ukapteni
- Reece James
- Kepa Arrizabalaga
- Sterling
- Thiago Silva
- Enzo Fernandez
Yaani sterling awe kapten wa Chelsea???Sasa ni muda muafaka kumchagua Kapteni wa Chelsea
Kapteni msaidizi alisepa january na sasa Kampteni mkuu anaondoka
Mawazo ya nani awe Kampteni mpya
Mount kapishana na ukapteni
- Reece James
- Kepa Arrizabalaga
- Sterling
- Thiago Silva
- Enzo Fernandez
Ndio mchezaji aliyekuwa na consistency performance nzuri hata pale ambapo karibia team nzima imeflop but yeye utakuta amekiwashaAzpilicueta nadhani ndie mchezaji aliyeipatia Chelsea faida kubwa kuliko wachezaji wote tangu hii timu iundwe. Na hii inawafanya Chelsea na mashabiki wake wamheshimu kwelikweli
Katika miaka 11 aliyoichezea Chelsea. Azpilicueta kashinda vikombe 9, kacheza mechi 500+ na mchezaji pekee wa Chelsea kushinda kila kombe linalowezekana kwa klabu, yote hayo kwa ada ya £8.8m tu. Katika maisha yake yote na Chelsea pia mshahara wake haukuwa mkubwa na hakunung'unika hata kidogo.
Historia ya mshahra wake kwa wiki ilikuwa hivi:
2012-2013 = £30,000.00
2014-2015 = £60,000.00
2016-2017 = £100,000.00
2018-2021 = £150,000.00
2022-2023 = £180,000.00
Kila la heri huko uendako Azpilicueta na karibu tena siku moja darajani
View attachment 2666960
Wanaenda kupanda dau,linalotakiwaChelsea wamekataa ofa ya 3 ya Manure ya £55+ addon ya £5
Chelsea wanataka £58+addons ya £7
Pia wamehsauri kuklutana ana kwa ana
Tukumbuke Manure waliahidi watakimbia ofa yao ya tatu ikikataliwa
Tunasubiri hizo mbio kwa timu iliyofilisika kiasi hiki
Man U tulizoea wakinyakua mchezaji kwa £100m+
View attachment 2666967
Good luck Mwamba#AzpilicuetaKwaheri Azpilicueta
Mimi namuweka Azpi kwenye Legend wa digrii ya kwanza sawasa na akian Terry, Lampard, Drogba na wengineo walioichezea Chelsea kwa kujitoa bila tamaa ya hapa na pale na kuitakia Chelsea ushindi na ubingwa wakati wowote
Angalia hata jinsi alivyoondoka, kwa heshima zote
Pia angalia hata alikuwa hal;ipwi sana, ila hakulalamika
View attachment 2666788
Hapo ni thiago kaptain mkuu msaidizi awe james. James au EnzoSasa ni muda muafaka kumchagua Kapteni wa Chelsea
Kapteni msaidizi alisepa january na sasa Kampteni mkuu anaondoka
Mawazo ya nani awe Kampteni mpya
Mount kapishana na ukapteni
- Reece James
- Kepa Arrizabalaga
- Sterling
- Thiago Silva
- Enzo Fernandez
Sasa ni muda muafaka kumchagua Kapteni wa Chelsea
Kapteni msaidizi alisepa january na sasa Kampteni mkuu anaondoka
Mawazo ya nani awe Kampteni mpya
Mount kapishana na ukapteni
- Reece James
- Kepa Arrizabalaga
- Sterling
- Thiago Silva
- Enzo Fernandez
BREAKING NEWS:
Joao Felix has been discussed internally (again) at Chelsea, after Kai Havertz’s imminent departure and the ongoing Mason Mount saga. Player is happy to stay. More details to follow later.
View attachment 2667656