bonge la player..Breaking news
Chelsea have finally reached full agreement to sign Nicolas Jackson, here we go! #CFC
Understand Villarreal accepted Chelsea to pay just bit more than €35m release clause but better payment terms using installments.
-Fabrizio Romano
Chelsea watalipa RC+1m au 2m lakini malipo kwa installments ni bora zaidi
Kwa sasa Nico yuko London kwa uchunguzi wa afya yake
View attachment 2666419
Mbona kapewa asimilia kubwa Sana na Benzema apewejeHuyu kiumbe tukubaliane tu hakuzaliwa kwenye hii sayari yetu
END OF ERA FOR A PHENOMENAL PLAYER
- Balance 99%
- Reactions 99%
- Ball Control 97%
- Dribbling 95%
- Composure 99%
- Interceptions 96%
- Heading Accuracy 57%
- Def. Awareness 95%
- Standing Tackle 98%
- Sliding Tackle 91%
- Jumping 89%
- Stamina 99%
- Strength 83%
- Aggression 99%
View attachment 2666475
Benzema kwani ni Defensive MFMbona kapewa asimilia kubwa Sana na Benzema apeweje
Binafsi sijashawishika na takwimu zake za goals ngoja nimsubiri uwanjani ndipo nitampimaBenzema kwani ni Defensive MF
Mbn kama mnaongelea vitu viwili tofauti mkuu.Binafsi sijashawishika na takwimu zake za goals ngoja nimsibiri uwanjani ndipo nitampima
Huyo ni Kante, utamuonaje tena, ndo kaondoka hivyoBinafsi sijashawishika na takwimu zake za goals ngoja nimsubiri uwanjani ndipo nitampima
Uzuri wa sajili za hivi ndio huwa zinafanya makubwa sio zile za kelele.Breaking news
Chelsea have finally reached full agreement to sign Nicolas Jackson, here we go! #CFC
Understand Villarreal accepted Chelsea to pay just bit more than €35m release clause but better payment terms using installments.
-Fabrizio Romano
Chelsea watalipa RC+1m au 2m lakini malipo kwa installments ni bora zaidi
Kwa sasa Nico yuko London kwa uchunguzi wa afya yake
View attachment 2666419
Sijakuelewa mimi nazungumzia Nicole Jackson kwamba sijaridhishwa nae kwenye takwimu zake za kufunga magoalHuyo ni Kante, utamuonaje tena, ndo kaondoka hivyo
Basi ulijibia kwenye uzi wa Kante, SorrySijakuelewa mimi nazungumzia Nicole Jackson kwamba sijaridhishwa nae kwenye takwimu zake za kufunga magoal
Thiago silvaSasa ni muda muafaka kumchagua Kapteni wa Chelsea
Kapteni msaidizi alisepa january na sasa Kampteni mkuu anaondoka
Mawazo ya nani awe Kampteni mpya
Mount kapishana na ukamteni
- Reece James
- Kepa Arrizabalaga
- Sterling
- Thiago Silva
- Enzo Fernandez