Hii siamini kabisa haitakuja kutokeaMbape to Chelsea
Here we go!
Kylian Mbappé has informed PSG of his decision: he’ll NOT trigger the option to extend current contract until 2025, it means that deal would expire next June 2024 — as L’Équipé called.PSG position: NO plan to lose Kylian for free.Sign new deal now or he could be sold.
-Fabrizio Romano
View attachment 2655555
Nimeweka tu ila hata mimi naamini Mbape kashtuka kuwa hatapata Ballon D'or akiwa PSGHii siamini kabisa haitakuja kutokea
Huyu mchezaji wa nini?Mbape to Chelsea
Here we go!
Kylian Mbappé has informed PSG of his decision: he’ll NOT trigger the option to extend current contract until 2025, it means that deal would expire next June 2024 — as L’Équipé called.PSG position: NO plan to lose Kylian for free.Sign new deal now or he could be sold.
-Fabrizio Romano
View attachment 2655555
Haji, usipatwe na shida, hata mimi simpendi Mbape, a controversial player at that young ageHuyu mchezaji wa nini?
Kwa Caicedo msijisumbue labda Brighton walete zile issue zao zakutaka Bidding war,ila hivi hivi huyu tunamchukuaBaada ya Rice wiki hii tunahamia kwa Caicedo
Fanyeni haraka dili la Caicedo
Priority yetu Sasa Ni Rice (£100m)
Then tumgeukie Caicedo Kama bado Chelsea atakuwa anachelewa
Our dream Midfield Ni RICEDO (RICE & CAICEDO)
Kwa Mudryk ilikuwa hivi hivi, Chelsea walifanya mambo kwa siri Arsenal waka relaxKwa Caicedo msijisumbue labda Brighton walete zile issue zao zakutaka Bidding war,ila hivi hivi huyu tunamchukua
Kwa ugarte ni sisi tu tulikataa kumatch ile offer ya PSG upande wa salary. Ila club kwa club agreement ilikuwa inakaribia.Kwa Mudryk ilikuwa hivi hivi, Chelsea walifanya mambo kwa siri Arsenal waka relax
Nasikia Pochetino na wenzake wanafanya mazungumzo kwa siri sana bila kuwahusihsa waandishi wa habari
Kikwazo kitakachotunyima Caisedo ni Colwill, Brighton wamefall in love na Colwill kiasi kwamba tukimnyima kama inavyoelekea wanaweza muuza Caisedo kwa timu nyingine au wakaweka bei kubwa ya kukomoa
PSG baada ya kumnyima Ziyech si unaona walichotufanyia kwa Ugarte?
@Mkohoti kwakuwa anakuja Arsenal au?Huyo Mchele mnaenda kupgwa mchana kweupe, mchezaji wa kawaida sana.
Kwanini mpaka Sasa ishu ya Caicedo mpo kimya ? Kuna NiniKwa Caicedo msijisumbue labda Brighton walete zile issue zao zakutaka Bidding war,ila hivi hivi huyu tunamchukua
Umechagua tu zile zinazokupa furaha na matumaini, mbona zingin eumeacha
Kwani hapo umeona Nini? Hiyo ni comparison ya Rice & CaicedoUmechagua tu zile zinazokupa furaha na matumaini, mbona zingin eumeacha
Hakuna mchezaji wa daraja la Mpappe aje timu isoyokuwa na future kila siku inazidi kudidimia.Hii siamini kabisa haitakuja kutokea
Alafu niwakumbushe tu Chelsea wiki hii ikiisha bado hamjakamilisha deal la Caicedo basi jiandaeni kuumia tena, maana wiki yote hii tunadeal na ishu ya Rice na kibaya zaid Partey leo kafikisha miaka 30, alf Caicedo yuko sokoni Kuweki makini sanaBaada ya Rice wiki hii tunahamia kwa Caicedo
Fanyeni haraka dili la Caicedo
Priority yetu Sasa Ni Rice (£100m)
Then tumgeukie Caicedo Kama bado Chelsea atakuwa anachelewa
Our dream Midfield Ni RICEDO (RICE & CAICEDO)
Sawa mr kronke tatukuwa makinAlafu niwakumbushe tu Chelsea wiki hii ikiisha bado hamjakamilisha deal la Caicedo basi jiandaeni kuumia tena, maana wiki yote hii tunadeal na ishu ya Rice na kibaya zaid Partey leo kafikisha miaka 30, alf Caicedo yuko sokoni Kuweki makini sana
Kumbuka Caisedo ana miaka 21 na Rice mpunga wenu ana mika 24 Leta stats za Declan Rice akiwa 21 halafu tuanzie hapoKwani hapo umeona Nini? Hiyo ni comparison ya Rice & Caicedo
Mm nawashangaa baadhi mnaoponda Uwezo wa Rice
Soon mtmponda na Caicedo