Kama Inter akiwa bingwa wa UCL na hapo hapo AS Roma akawa bingwa wa EuropaYes. UEFA ile nafasi ya mlango wa nyuma ni ya bingwa wa champions league au Europa na si vinginevyo endapo hakufuzu kwa njia ya top 4.
Tena huwa inaenda mbali zaidi ikiwa bingwa CL na Europa wote hawajafuzu kwa njia ya top 4 na wapo ktk ligi moja basi yule aliyemaliza nafasi ya 4 anaondolewa ili zibaki timu 5 tu ndani ya ligi moja.
Inter ame-qualify kwa njia ya top 4 Serie A ndio maana Shakhtar Donetsk amewekwa group stage moja kwa moja juzi ktk pot 3 na UEFA.Kama Inter akiwa bingwa wa UCL na hapo hapo AS Roma akawa bingwa wa Europa
Pochetino anapenda mpira wa pressing
Mchezaji mmojawapo atakayeendana na mfumo wake na atapata nafasi sana kwa Pochetino ni Conor Garagher
Poche ameshaidhinisha wazi anataka Galagher abaki japo Boehly ameshamuweka Conor Galagher kwenye orodha ya wachezaji watakaouzwa na wamemdaminisha katika paundi mil 44
Mchezaji ambaye anaweza asifae kabisa kwenye mfumo wa Pochetino ni hawa hapa
Mimi nawaona hawa kama ni wazito kwenye kupress
- Mendy
- Havertz
- Cheek
- Ziyech
Akiwa Palace hakuwa hivi, kazi kubwa ya Pochetinno ni kumuwezesha awe na ball control na kuwa creative na ukichanganya na uwezo wake wa kupress atakuwa mchezaji mzuri sana. Hiyo ndio kazi ya kochaConor gallagher ana ball control mbovu sana..sio creative player kabisa haisaidii timu ktk kushambulia
Sio kwa ZiyechPochetino anapenda mpira wa pressing