Kwa mpira gan anaocheza mount nyie ndo mnaharibu mpira kwa kupandisha mishahara ya wachezaji wa kawaida sanaNaomba uelewe maana ya future. Usinitafsiri direct. Tumchukulie .udryk kwa naiaba ya wengine. Hata acheze vizuri baada ya mpriea wake kukua may be 5 year to come anahisi hataboreshewa mkataba wake kwa sababu ya kauli zinazotolewa na Boehly huku aliwafungishia mkataba wa miaka mingi. Wanaona career yao imewekwa kifungo cha muda mrefu. Hiyo ndio maana ya andiko langu. Wewe ukaja ukafanya direct transalation bila kujali details za kwenye andiko
Kuhusu Mount suala siyo 250k suala ni kukubali kuboresha mkataba. Naamini angekuwa ni Abramovich suala la mkataba wa Mount lingeshamalizwa. Penda usipende Mount ni mchezaji mzuri na anastahili 209k+ kwenye mkataba wake kwa sasa
Yes anayo haki ya kulalamika kwa kuzika trilioni bila akili na akiendelea kulalamika ataua timu kabisa.
Huo ubilionea nadhani kapata kwa wizi kwa sababu hajui mbinu za uongozi wala business
Kuna vitu viwili naoana unavichanganya, mudyk sio mbovu,mchezaji mzuri na mbovu utamjua tu ata kama timu haichezi vizur, the way anatoa pass na movement zake uwanjani, nitashangaa pia kama utasema Enzo pia ni mbovu kama jamaa mwingine humu anavyosema eti mpaka blichi, enzo ni bonge la mchezaji.Mkuu utaboresha vipi mishahara ya watu kama kina mudryk?? Yaani mchezaji anashijdwa hata kutuliza mpira ,kutoa pasi au kupiga shuti ili hali kasajiliwa karibu euro milioni 100.
Mchezaji kama mount unamlipaje £250k au £300k per week....ana nini cha ajabu anaisaidia chelsea. Akitoka chelsea hakuna klabu kubwa itakayomtaka na kumlipa pesa kama anazolipwa chelsea.
Boss ana haki ya kulalamikia pesa zake , ametoa zaidi ya trilioni moja ya kibongo kusajili wachezaji ambao hawajitumi na hawana uchungu na timu. Kufoka na kugomba ni halali yakr
Wachazaji wazuri wanachanganywa na wachezaji wabovu, wanaongozwa na kocha kiazi. Ghallager na Challobar ni matakataka.Kuna vitu viwili naoana unavichanganya, mudyk sio mbovu,mchezaji mzuri na mbovu utamjua tu ata kama timu haichezi vizur, the way anatoa pass na movement zake uwanjani, nitashangaa pia kama utasema Enzo pia ni mbovu kama jamaa mwingine humu anavyosema eti mpaka blichi, enzo ni bonge la mchezaji.
Halafu pia chelsea haina wachezaji wabovu kama unavyosema. Chelsea hii hii akapewa kipara na lampard akapewa Man city bado utarudi hapa kulalamika City haina wachezaji wa kupambana.
#Chelsea ina wachezaji haina kocha, KONDOO ina kocha haina wachezaji.
Pochettino sio mzungu....ni muargentina (muamerika kusini/latin america)Pochettino naye ni evarage coach, sijaona akiwa na mafanikio ya kombe lolote la maana.
Hivi hawa ni Wazungu kweli au Wazungu pori, mbona akili za kufikiri nnje ya boksi hakuna kabisa?
unaongea mtu ambaye hujawahi hujawahi kumiliki hata dollar laki mojaNaomba uelewe maana ya future. Usinitafsiri direct. Tumchukulie .udryk kwa naiaba ya wengine. Hata acheze vizuri baada ya mpriea wake kukua may be 5 year to come anahisi hataboreshewa mkataba wake kwa sababu ya kauli zinazotolewa na Boehly huku aliwafungishia mkataba wa miaka mingi. Wanaona career yao imewekwa kifungo cha muda mrefu. Hiyo ndio maana ya andiko langu. Wewe ukaja ukafanya direct transalation bila kujali details za kwenye andiko
Kuhusu Mount suala siyo 250k suala ni kukubali kuboresha mkataba. Naamini angekuwa ni Abramovich suala la mkataba wa Mount lingeshamalizwa. Penda usipende Mount ni mchezaji mzuri na anastahili 209k+ kwenye mkataba wake kwa sasa
Yes anayo haki ya kulalamika kwa kuzika trilioni bila akili na akiendelea kulalamika ataua timu kabisa.
Huo ubilionea nadhani kapata kwa wizi kwa sababu hajui mbinu za uongozi wala business
Nilimaanisha wamiliki wa ChelseaPochett
Pochettino sio mzungu....ni muargentina (muamerika kusini/latin america)
Todd Boehly na wenzake kwenye maamuzi wako hovyo sana
Ushahidi ni huu
Huko mbeleni hakuna tumaini kabisa kwa sababu msingi mkuu wa mafanikio ya Chelsea yako kwenye maamuzi yenye tija ya hao mabosi wanaokurupuka
- Kufukuzwa Marina, Bruce, Cech na wewnzake kwa mshutuko
- Kutimuliwa Tuchel kwa mshituko
- Usajili holela na wa masifa mengi wa wachezaji
- Kuajiriwa kwa Potter na kupambwa kwingi
- Kuajiriwa kwa Lampard aliyeproove failure Chelsea na Everton
- Maamuzi ya hao mabosi kuingilia dressing room na kuwafokea wachezaji, wakati hiyo ilitakiwa kocha ndie afanye
Points kama mbili kubwa nimepata kwenye comparizon ya Roman Model na current situationKuna hii thread nimeicopy kutoka Twitter jamaa kaongea point tupu.
Nikipata mda nita itafsiri kwa kiswahil
Inaanza kama ifatavyo.
Had an argument with a fellow Chelsea fan offline, and I told him that the Roman model was bound to be phased out sooner than later and here is why
Money :Roman came into football at the time where the "haves" were really few and the "have not" were more. This created a natural
Separation, what this means is that Chelsea were operating on a different level financially than their fellow competitors. In todays game a Brighton or Southampton can casually spend 100mill+ in a transfer window and not flinch. Every one is Rich so the gap is closer than ever.
Talent :The talent pool we could access then due to our financial advantage can now be accessed even much earlier before peak season. Take a look at Evan Fergus /Havertz for the fee we paid, we signed an arguably less talented player. So where is the advantage? Clubs with proper Planning are tapping into the superstar market way before the stardom happens, basically before you sign your Neymar from Barca, a club like Southampton has signed him from Santos. Crazy crazy stuff.
Coaches :Hire & fire the MO of Roman, as Mikel Obi mentioned "when he touched down with his helicopter the manager was gone "this worked at the time because the few available class managers then prioritized winning over anything else and clubs of status attracted them. Today stability is the watchword. Why do you think Pep turned us down severally??
Stability plays a very key role in a managers success and this extends to players too. Also the constant chop and change meant that we had blow through atleast half the elite coaches available, a constant chop and change means at some point we will be left with re-hiring exCoaches or settling for unproven ones (that the fanbase hates so much) either way that course of action was bound to backfire. Many ofcourse will interpret this as a dig on Roman, no its not its just to show that what he was doing was unsustainable regardless of the intention.