Chelsea wana mpango wa kuwauza wachezaji hawa bei nzuri ikipatikana
Wanaamini pia Cucurella atakuja kuwa mchezaji mzuri ila maoni ya kocha mpya itabadili upepo
- Kepa,
- Mendy,
- Azpilicueta,
- Koulibally
- Maatsen,
- Kovacic,
- Ampadu,
- Gallagher,
- Cheek,
- Mount,
- Havertz,
- CHO,
- Sterling,
- Pulisic,
- Ziyech,
- Broja na
- Aubameyang
Ila Chelsea ina takataka nyingi aisee , hebu angalia hiyo listChelsea wana mpango wa kuwauza wachezaji hawa bei nzuri ikipatikana
Wanaamini pia Cucurella atakuja kuwa mchezaji mzuri ila maoni ya kocha mpya itabadili upepo
- Kepa,
- Mendy,
- Azpilicueta,
- Koulibally
- Maatsen,
- Kovacic,
- Ampadu,
- Gallagher,
- Cheek,
- Mount,
- Havertz,
- CHO,
- Sterling,
- Pulisic,
- Ziyech,
- Broja na
- Aubameyang
Mwakani Chelsea itasumbua saanaSitoshangaa misim 2 ijayo tukawa mid table team kwa sababu ya ujinga wa Boehly kuajiri makocha wasiofaa
Ni timu yake lakini jamani na yeye ndio mwenye uchungu nayoTodd - Mwenyekiti wa Timu
Toddy - Mkurugenzi wa uendeshaji
Toddy - Mkurugenzi wa Bodi
Toddy - Mkurugenzi wa Scouting
Toddy - Mkurugenzi wa usajili
Toddy - Dalali wa soko la usajili
Toddy - Kocha wa dressing room
Toddy - Mkurugenzi wa fedha
Toddy - Mchambuzi wa mpira
Toddy - Mkosi ndani ya Chelsea
Timu ni ya mashabiki, yeye anamiliki mapato tu ambayo mashabiki wakigoma atakimbia EnglandNi timu yake lakini jamani na yeye ndio mwenye uchungu nayo
Kule Munich Tuchel hafanyi vizuri
Tuchel anaweza asiendelee msimu ujao kuifundisha Bayern Munich kwa sababu kwa sasa tension ni kubwa dressing room kuliko wakati wa Julian
- Bayern imetolewa UEFA
- Leo kakung'utwa 3-1 na Mainz
- Kwenye Table wamerudi namba 2 kama alivyoacha Julian
- Wachezaji wanacheza individually tofauti na wakati wa Julian
- Bodi sasa wanatafutana mchawi
Hatukuwa nusu sema tulikuwa pungufu kwa mchezaji mmoja. Wachezaji 11 akitolewa mmoja hao 10 waliobaki siyo nusu.. Barikiwa sanaTujikumbushe UEFA Semi final ya 2012 baina ya Chelsea na Barcelona 2nd leg kule Campnou
Ashley cole akiwa kwenye line ya mwsho kabisa ya mabeki wa Chelsea alipata mpira uliokuwa unazurura na kumpasia Torres kwa haraka na yeye bila ajizi akamhadaa kipa wa Barcelona na kufunga kilaini katika dk ya 90+1
Wakati tunacheza nao kwao tukiwa nusu baada ya Terry kutolewa dk ya 37 kwa red card
Spirit ya timu ilikuwa juu sana, na hiyo spirit siku hizi imepotea sijui nani kailoga Chelsea yetu
View attachment 2597959
Unachosema ni kweli, PSG is a bad experience kwa kocha yeyote, wananunua wachezaji holelaPoch atakuwa na mafanikio darajani kwa sababu ana wachezaji wazuri na klabu haina tabia ya kuuza wachezaj wake hovyo kama Tottenham...
Akihitaj mchezaji anapewa.
PSG ile team ina shda kidogo mastar ndio wanaomuongoza coach ndo maana hakufanikiwa nikifikiria alivyowatengeneza kina Walker, Barley, Delle Ali na Kane nahisi atafanikiwa
We nani kakwambia kaingilia dressing room? Kwa hiyo matokeo mabaya yanayoikumba chelsea ni kwa kuwa Boehly kaingilia dressing room?Unachosema ni kweli, PSG is a bad experience kwa kocha yeyote, wananunua wachezaji holela
Ila cha kushangaza, hata sisi Chelsea tunaelekea kufuata nyayo za PSG, kila kocha akija hapa hataweza kumudu hii hali ya kununua wachezaji holela
Cha pili, sidhani kama Todd Boehly ataacha tabia ya kuingilia majukumu ya kocha na wengineo
Wasiwasi wangu mkubwa kwa sasa Chelsea ni style ya uongozi aliyo nayo Boehly hadi dressing room anaingilia anavyotaka
Anguko la makocha wengi liko hapo
Nasikitika kama hutaona Mmiliki au tuite bosi wa bodi akiingilia kufanya kazi aliyotakiwa kufanya Kocha. Dressing room is a sacred place for players and their coach. wazungumze mambo yao, wakemeane, waonyane, wapongezane. Kama kuna bosi anataka kwenda huko anaomba na anakwenda kwa ajili ya kwenda kupongeza tu tena mara chacheWe nani kakwambia kaingilia dressing room? Kwa hiyo matokeo mabaya yanayoikumba chelsea ni kwa kuwa Boehly kaingilia dressing room?