Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,056
- 27,460
7 games to go - ni point 21 zipo mkononi mwake. Kama atashinda zote basi huenda akapata nafasi ya kapu la Uefa ndogo.Hii timu imebakiza mechi ngapi ili tuangalie kama tunaweza kushuka daraja ama hatushuki?!
Fuso wacha kuota ndoto za mchana, mwenzako kauliza swali zuri na la maana kwa kipindi tulichonacho. Ushindi wetu uliobakia pekee ni kubakia EPL7 games to go - ni point 21 zipo mkononi mwake. Kama atashinda zote basi huenda akapata nafasi ya kapu la Uefa ndogo.
Total point anazoweza kufikisha akishinda zote ni - 39 za sasa + 21 = 60.
Bado matumaini kidogo ya kwenda mbinguni 😀 😀
Mbona hizo keywords zote zinaanza na L .....Lawama FC
Lialia FC
Sasa hivi mbuzi wa kafara ni mmiliki
Ndo ujue una nyota Kali Ustadh wangu Lembu[emoji23]Mbona hizo keywords zote zinaanza na L .....
Huku kazkazini tunakulaga ndizi mbele kwa mbeleNdo ujue una nyota Kali Ustadh wangu Lembu[emoji23]
Wishing you Happy eid el-fitr
Nakulaga biriani Ustadh[emoji39]
Tualikane sikukuu bwana OstazHuku kazkazini tunakulaga ndizi mbele kwa mbele
Unataka Lembu akununulie biriyani wakati chelsea hajashinda game hata moja tangu aje lampard lampizzo??!Ndo ujue una nyota Kali Ustadh wangu Lembu[emoji23]
Wishing you a Happy eid el-fitr
Nakulaga biriani Ustadh[emoji39]
Sasa kulibali baba wa watu kawakosea nini na amesajiliwa juzi tu?Wa nane kula panga Chelsea msimu wa joto... toa maoni yako.
Chelsea could axe up eight players to stay in line with Financial Fair Play rules.
Christian Pulisic,
Hakim Ziyech,
Kalidou Koulibaly,
Mason Mount,
Ruben Loftus-Cheek,
Conor Gallagher,
Romelu Lukaku and
Pierre-Emerick Aubameyang could all be sold after a difficult campaign.
We KONDOO unapata wapi nguvu za kuongea hovyo humu.Kama mnaona super Frankie hatoshi, hii timu tumpe Ndairagije atuvushe View attachment 2596527
Goal.com wanaripoti kuwa sababu kubwa ya Tuchel kufukuzwa ni kwa sababu Tuchel alimnyima Boehly kuingia Dressing Room wakati wa mapumziko Septemba Chelsea ilipocheza na Westham. Lampard yeye anasifia Boehly kila mara kuingia na kuchafua hali ya hewa dressing room, poor Lampard anafaa sana kuosha miguu ya BoehlyMakocha wazuri hawatakubali kufanya kazi na Boehly, hii ni ya uhakika
Tutaishia kupata Puppet kama akina Lampard na Potter, nasema Lampard kwa sababu tabia chafu ya Boehly kuingilia dressing room yeye Lampard anasifia
Changamoto Alizoziona Julian Nagelsmann ndani ya Chelsea ni nyingi na mojawapo ni
- Changamoto za kimuundo
- Changamoto za usajili
- Changamoto za mchakato wa maamuzi ambao hautasaidia uongozi wake kama kocha ndani ya Chelsea
According to Sky Sports journalist Melissa Reddy, Nagelsmann felt as though there were numerous issues at Chelsea including
- fundamental structural,
- recruitment and
- process decisions that wouldn't best serve his management."