Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,358
- 16,424
1st Eleven ya kiduanzi.
1%ushindi
99% matumaini.
Best of Luck
Leo tunategemea Galagher na Havertz ndio watumbukize 3Daaah hii ndo timu inayohitaji magoal matatu View attachment 2592316
😂😂😂😂😂😂Pisi Kali wetu Carleen kapotelea wapi Wana Chelsea jamani?
Depal kaa karibu na huyu Ndugu yetu, isijekuwa kashajitundika kamba huko kwa sababu za stress za timu yetu[emoji16]
tunaangalia dakika 90 zote na hatulii usijali,Ewe shabiki wa Chelsea, kama ukienda kuangalia mechi hakikisha unamaliza dkk zote 90, mambo ya kuja kulia-lia hapa umeshindwa kumaliza mechi uache
Bado bila bila dakika ya 20,
Chelsea umaliziaji ni sifuri, tumekosa magoli mengi ya wazi kabisa..!!Kuna kushambulia golini na kuzurura golini.
The blues inazurura golini mwa Madrid.
Daaaahhhh michezaji inapoteza nafasi za wazi kabisa, halafu ikifika kwenye 18 inarelax tu utafikiri yenyeweKuna kushambulia golini na kuzurura golini.
The blues inazurura golini mwa Madrid.
Kazingua sana,, hata ngolo Kanye piaCucurela katunyima goli hapa. Huu msimu WA man city tu.