Na pia tuko 12 point above relagation zoneChelsea spent £323M in the January transfer window.
They are currently:
10 points behind Brighton
14 points behind Tottenham
17 points behind Manjesta
17 points behind Newcastle
28 points behind Man City
34 points behind Arsenal
NB: PICHA HAINA UHUSIHANO NA COMMENTView attachment 2589040
Hiyo hiyo timu ilimtoa Dortmund wakiongoza ligi ya UjerumaniHii ndo team ya kumtoa MadridView attachment 2588866
Mendy kaokoa mengi kama hayo kwenye ligi na UEFA au umesahauMkuu kuna magoli huwezi kumlaumu kipa. Kama goli la pili ni mara chache sana makipa wanasave makombora kama yale
Kutobolewa ni kule kule hakuna mbadalaNaelewa stress mlokuwa nazo
600k na hakuna kinachoeleweka si mchezo
Heri sisi tatizo linaonekana ni hatujanunua.
Sasa nyie ndugu zetu dah!
Mechi 3 zijazo tunajikuta kwenye relegation battle.Na pia tuko 12 point above relagation zone
Huna uwezo wa kushinda game yeyote hata ukicheza na mashujaa fc ya kigoma wewe ....wakuu ivi apa inabidi tushinde michezo mingapi ili kuwa na uhakika wa kutoshuka ligi?
Tupo UEFAKumbe mlikuwa na siku nyingine ya kudhalilika [emoji1787]
Tumepack bus, relax sista 😂
Goli zuri ni lile lililokuleta duniani, Arsepimbi wewe [emoji35]
Ulichosema hakina tofauti na mimi wewe umeongezea nyama tuMendy kaokoa mengi kama hayo kwenye ligi na UEFA au umesahau
Magoli kama yale kweli huwezi kumlaumu Kepa kwa sababu yamesababishwa na umbile lake
Mendy kwa sababu ya urefu mkubwa angejitanua hata akagusa na kidole ingetoka nje
Kwa Kepa ni kumuonea bure
Wakulaumiwa ni Putin, bila yeye haya yasingetukutaTuna matajiri wa hovyo sana, na ndio wametuweka katika halii hii
Sio rahisi kama unavyodhani lile shuti limeenda katika engo ya mbali mnooo! Wakulaumiwa ni midfilders wa chelsea ambao walinyang'anywa mpira halafu hata hawakukimbia walikuwa wana jog tu na beki zikaacha space kubwa kwa mpigaji wa shuti bila ya kumghasiNarudia kusema Kepa kacheza vizuri sana leo, katuweka mchezoni hadi dk ya 42
Ila kuna mashuti sio size yake kabisa na hasa mashuti ya mbali
Urefu wake unamponza, kajitanua hadi mwisho bado chuma ikaingia
Lile shuti Mendy angeokoa hata kwa kidole