'From bad to worse..' mpaka mtakapo achana na makocha wa uingereza wale ni sawa sawa na makocha wa taifa star, acheni uzalendo wa kijinga tunarudi kule kule FL hana uwezo wakuinua hivyo vipaji vya hao watoto wa Chelsea....manusura ashushe Everton daraja unakuja kumpa team complicated zaidi ya Everton, huo ni ujinga.
Hii timu haitashiriki michuano ya EUFA si chini ya miaka mitatu sababu 1.usimamizi wa watu wanaojifunza kumiliki club ya mpira 2. Sioni wamarekani kama ni wamiliki sahihi wa club zinazohitaji mafanikio maana ni full ego na kujali brand