Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,056
- 27,460
Yan sikua najua kqma Potter katimuliwa hapa nimeweka Skysports ndio habari ya kwamza nakutana nayo. Jamani sio vizuri kabisa habari mzuri kama hizi tunaambiana aseeh.
Ngoja nifungue ka Hansons Choice nifurahi sasa
Jana nimeangalia mechi kwa simu tweeter ,nikatamani niibonde simu chini kwa hasira . Upumbaf sana uleDaaah angetuua huyu fala
Potter ni type ya akina David Moyes akati akiwa everton na sasa westham ,midtable coaches , hawawezi mikiki na pressure za timu kubwa ,Kipi alichokifanya Brighton??? Mpaka tuseme alikuwa vizuri, zaidi ya kucheza vizuri tu.
Angalia sasa Brighton wako semi final FA Cup kitu ambacho Potter alishindwa. DE ZERBI kawaimprove Brighton kuliko hata wakat wa Potter.
Hakuna maajabu potter aliyoyafanya Brighton zaidi ya kucheza vizuri tu ila matokeo anayoyapata sasa ndio yale yale alikuwa anayapata Brighton
Twitter huwa wanaonesha game live?Jana nimeangalia mechi kwa simu tweeter ,nikatamani niibonde simu chini kwa hasira . Upumbaf sana ule
Kabisa ,angalia pesa alizoteketeza Todd ,ni pesa ndefu ,ukizingatia kuvunja mkataba wa Potter Ile wa miaka ,4 si mchezo , Todd alikurupukaKumfukuza Tuchel ilikuwa ni kosa kubwa sana ambalo haliwezi kusahaulika.
Ndio ,links kibao tena quality fresh ,kuna accounts kibao zinarusha mechi live na mb consumption kidogo sanaTwitter huwa wanaonesha game live?
Kwani Potter si tulimchukua akiwa kazini. Tulilipa kama mil 20 kumtoa Brighton. Issue sio kocha asiye kazini wala aliyefukuzwa. Issue ni kocha mwenye uzoefu na timu kubwa na kubeba makombeYah nakumbuka wakuu, ila kuchukua managers waliopo nje ya kazi hayo mambo yanafanywa na akina Southampton hukooooooooo, timu kubwa ni zinakwenda kumchukua kocha mwenye kazi.
Nafahamu hata Zidane hana kazi na ni kocha mzuri
Enrique ni kocha mzuri sana ....ndiye kocha wa mwisho aliyeisaidia FC barcelona kutwaa UEFAAlifanya nini na Spain?
Naomba mojawapo ya link mkuuN
Ndio ,links kibao tena quality fresh ,kuna accounts kibao zinarusha mechi live na mb consumption kidogo sana
Unatumia Twitter.? Kama unatumia em nambie matumizi yako huko.Twitter huwa wanaonesha game live?
Luis Enrique alifanya vizuri Barcelona ikiwa na MSN kipindi hicho hata kocha angekuwa nani lazima angebeba ndoo na alipotimuliwa Barca hakupata kazi tena zaidi ya timu ya spain ambapo kachemkaEnrique ni kocha mzuri sana ....ndiye kocha wa mwisho aliyeisaidia FC barcelona kutwaa UEFA
Huyu bwana mdogo Julian Nagelsman hawajapishana sana kimbinu na Tuchel staili za ufundishaji zinafanana na Vivel anamjua huyu bwana mdogo cos ashafanya naye kazi ndo maana anamtakaKwani Potter si tulimchukua akiwa kazini. Tulilipa kama mil 20 kumtoa Brighton. Issue sio kocha asiye kazini wala aliyefukuzwa. Issue ni kocha mwenye uzoefu na timu kubwa na kubeba makombe
Enrique sawa
Conte sawa
Hata Mou arudi
Julian namuona bado anahitaji kukomaa japo
Christopher Vivell anampigia chapuo kweli kweli
Mbona Bayern kwenye ligi kashindwa na timu yenye wachezaji wazuri kuliko hata Chelsea?Huyu bwana mdogo Julian Nagelsman hawajapishana sana kimbinu na Tuchel staili za ufundishaji zinafanana na Vivel anamjua huyu bwana mdogo cos ashafanya naye kazi ndo maana anamtaka
Conte ni jeuri umesahau alivyotuondoshea Diego Costa ?