Nipo mkuu, nasubir tembo aanguke utanionaMkohoti umepotea Sana aisee
Bila majungu kiukweli we Jamaa na AllyPipi huwa mnanifurahisha sana na hizi mbwembwe zenu [emoji28]Mbinu za potter zimeanza kuleta matumaini
Potter mikumi kabisa
Unazingua Sana Mkohoti [emoji1787][emoji1787]Nipo mkuu, nasubir tembo aanguke utaniona
Mm nazipenda timu zaBila majungu kiukweli we Jamaa na AllyPipi huwa mnanifurahisha sana na hizi mbwembwe zenu [emoji28]
Ila we Bachelor II utakuwa unaipenda Chelsea FC kimya kimya.
Bado tu hujaiwekea lamination hii habari?Pulisic - Mtumishi hewa
Gallagher - Mpira vurugu
Cheek - Mid table player
Mount - Kinyonga
Cucurela - Waruwaru
Harvetz - Konokono
Sterling - PAPARAZI
Potter - MKOSI
Mpira upi ulikua unaangalia? Au Livescore hawajaupdate matokeo?City kamboda liva kuku 3