Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

THE BLUES tangu aondoke Roman tumekuwa kituko sana. Roman alikuwa mafia, alimaster kila eneo.

Toddy anaenda kunyang'anya wachezaji wa watu huko sokoni halafu kwenye eneo la kocha anafanya upuuzi tuu.
Tajiri asiyekuwa na uelewa na maswala ya mpira kakurupuka kumchukua Potter kwa kuvunja mkataba wake uliovunja record
 
Hatimaye TT tumemkosa kabisa Wana The Blues daaah... tuendelee kupambana na famba letu Chuck Norris [emoji849][emoji30]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…