Yaani takataka kai ni bora angeuzwa msimu ule alipouzwa Timo Werner , Tulifanya makosa kumuuza Timo ,Timo alikosa tu confidence baada ya kupata majeraha ila angerudi akapewa muda angekuwa abauwasha moto sasa hivi , huyu Kai ni ovyo kabisa , nguvu ,kasi ubunifu zero ,vitu ambavyo Timo alikuwa navyo ,pumbafu sana huyu dogo , KAi ni mshambuliaji wa kutengewa mipira yeye kutap in , kitu ambacho kwa mpira wa sasa huyu ni useless playerNa kama amepewa majukumu ya kupiga penalty inamaanisha KAI atakua anacheza mechi zote
Kwa hii timu na mwenendo wa sasa ,sidhani aisee , Dortmund wako serious misimu huu ,wametoka kumbobda RB Leipzig goli za kutosha bundesliga ,RB Leipzig aliyemdhalilisha cityLeo natamani sana mfungwe kutupokea kuchekwa lakini naona mwanga mbele yenu.
Mtavuka kimaajabu ajabu leo.View attachment 2540865
Tunaogopa lakn tunaamin tutashnda kwa uwezo binafsi wa wachezaji[emoji110]Leo natamani sana mfungwe kutupokea kuchekwa lakini naona mwanga mbele yenu.
Mtavuka kimaajabu ajabu leo.View attachment 2540865
Huyo leipzig kamdhalilisha city lini?Kwa hii timu na mwenendo wa sasa ,sidhani aisee , Dortmund wako serious misimu huu ,wametoka kumbobda RB Leipzig goli za kutosha bundesliga ,RB Leipzig aliyemdhalilisha city
Sisi litimu linacheza kama la walevi wa gongo
[emoji23][emoji23][emoji23] naona umeamua kuweka akiba. Safi.Leo natamani sana mfungwe kutupokea kuchekwa lakini naona mwanga mbele yenu.
Mtavuka kimaajabu ajabu leo.View attachment 2540865
naomba kujuzwa app ambayo naweza angalia mpira wa Chelsea leo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikisemaga STERLING ni paparazi muwe mnaelewa.
Mchezaji anasuka, ana shape. Hapo hamna mchezaji bali ni kituko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wachezaji wetu wamekula maharagwe mabichi na viazi, wamevimbiwa hawawezi kukimbia wala kukaba
[emoji23][emoji1787][emoji1787]Kwa hii timu na mwenendo wa sasa ,sidhani aisee , Dortmund wako serious misimu huu ,wametoka kumbobda RB Leipzig goli za kutosha bundesliga ,RB Leipzig aliyemdhalilisha city
Sisi litimu linacheza kama la walevi wa gongo
Halafu tena wana funza miguuni, wanaogopa kupiga straight goliniwachezaji wetu wamekula maharagwe mabichi na viazi, wamevimbiwa hawawezi kukimbia wala kukaba
Pili FelixMtu wa kwanza ambaye hatakiwi kurudi kipindi cha pili ni Sterling hata kama amescore goal.
Match leo imemkataa. Aingie tu hata Pulisic au Mudyrik.
Leo Havertz kajitutumua hasa dakika 15 za mwisho first half ,kwanini huwa halitii bidii hivi kwenye Epl ?Tumebahatisha, hakuna mpira mzuri hapo japo tunatengeneza nafasi nyingi. Leo namuona Havertz anapambana kweli
The lad is giving everything