Mimi nawaambia ukweli, tatizo lembu huwa ni mbishi hivi hivi miaka yote ,hata pre season tulijadili nae Sana humu akawa mbishi SanaWanaweza hisi km unawanafikia lkn kuna chembechembe za ukweli kabisa
Mkuu hivi wewe ten hag umemjulia wakati yupo Manchester? ni jibu ili kwanza hafu tuendelee.Mimi nawaambia ukweli, tatizo lembu huwa ni mbishi hivi hivi miaka yote ,hata pre season tulijadili nae Sana humu akawa mbishi Sana
Mfano ukiniwekea Ten hag na Di zerbi binafsi namchukua Di zerbi
Ten hag anatembea na individual brilliance za wachezaji hawapungui watatu , Rashford Casemiro na Degea ,
Manchester United ni timu ambayo haina tofauti kimfumo na middle table teams, angalia hapo chini ...
ndio maana walipoenda Emirates ndani ya dk 90 waliingia ndani ya box la Arsenal mara 13 tu na hapo Ten hag kakuta timu sio mbaya na akapewa €250m aboreshe kikos
View attachment 2536309
Toka yupo Ajax ,Mimi siongei kishabiki ,Mkuu hivi wewe ten hag umemjulia wakati yupo Manchester? ni jibu ili kwanza hafu tuendelee.
Kwaiyo unataka uniambie mpira wenye tuna cheza saizi man u ndo ule ambao ten hag ametoka nao ajax.Toka yupo Ajax ,Mimi siongei kishabiki ,
Tutakuwa tunakumbushana
Tofauti kabisa ,mpira wa Ajax ni culture yao hata kocha wa Sasa anacheza hivo hivoKwaiyo unataka uniambie mpira wenye tuna cheza saizi man u ndo ule ambao ten hag ametoka nao ajax.
Ok tusibishane sana hata Ten hag mwenyewe toka amefika Manchester amekili Kwamba kwa Sasa anajenga timu.Toka yupo Ajax ,Mimi siongei kishabiki ,
Tutakuwa tunakumbushana
Kwaiyo mkuu unaweza kuniambia Kwanini mpira mnaocheza saizi arsenal arteta akuanza nao toka msimu wake wa kwanza hapo arsenal?Tofauti kabisa ,mpira wa Ajax ni culture yao hata kocha wa Sasa anacheza hivo hivo
Ndio maana Ten hag imebidi acheze direct football hapo Manchester ,
Kocha wetu alishaweka wazi kila kitu kwa sasa anaitaji matokeo tu hawezi kucheza mpira anao utaka wakati wachezaji hao hana.Tofauti kabisa ,mpira wa Ajax ni culture yao hata kocha wa Sasa anacheza hivo hivo
Ndio maana Ten hag imebidi acheze direct football hapo Manchester ,
Danganyaneni , au hujaona Degea ndio Kwanza anaongeza mkataba ?Kocha wetu alishaweka wazi kila kitu kwa sasa anaitaji matokeo tu hawezi kucheza mpira anao utaka wakati wachezaji hao hana.
hata anza kucheza mpira mzuri mpaka hapatikane kwanza goalkeeper anaeweza kuanzisha mashambulizi kuanzia nyuma na kiungo anae weza kumiliki mpira.
Sasa mnataka tuwe tunacheza mpira mzuri hafu tunaishia kufungwa sisi sio arsenal tucheze misimu yote kiasi icho pasipo kwenda uefa hayo Mambo mnayaweza fans wa arsenal tu.
Scenario mbili tofauti kabisa ,Kwanza ndio maana namtilia shaka Ten hag , sio kweli eti kakuta man u mbovu Kama Arteta alivyoikuta ArsenalOk tusibishane sana hata Ten hag mwenyewe toka amefika Manchester amekili Kwamba kwa Sasa anajenga timu.
Ila katika kujenga timu anaitaji na matokeo mazuri hataki mambo kama ya arteta toka kaanza kuinoa arsenal ladha ya uefa fans wa arsenal hamjui ipoje[emoji16]
Kocha hawezi kuanza tu kucheza mpira mzuri wakati anajua wachezaji wakufanya nae ivyo hana
Sisi kwa Sasa tunataka point tu hayo ya mpira mzuri tumewaachieni nyie arsenal.
Sisi burudani yetu ni mabao tu.
Believe me Kama Dirisha la Kwanza tu angepewa £200m Basi ingemchukua mwaka mmoja kucheza hivi sababu alipofika alisema anahitaji wachezaji 6 wapya achanganye na waliopo wachacheKwaiyo mkuu unaweza kuniambia Kwanini mpira mnaocheza saizi arsenal arteta akuanza nao toka msimu wake wa kwanza hapo arsenal?
Acha tuone ndo msimu wake wa kwanza tuta taftana misimu mingine kupeana mrejesho.Believe me Kama Dirisha la Kwanza tu angepewa £200m Basi ingemchukua mwaka mmoja kucheza hivi sababu alipofika alisema anahitaji wachezaji 6 wapya achanganye na waliopo wachache
Lakini ilimbidi awe mpole sababu alianza kwakupewa bajeti ndogo £70m ikafata £140m ikafata £120m na January hii walikuwa tayari kumpa £100m zaidi
Pep Guardiola msimu wa Kwanza aliondoa wachezaji asiowataka ,msimu wa pili alitumia around £200m akabeba ubingwa
Sasa Ten hag kakuta man u sio mbovu kihivo na bado wakamuongezea €250m , anataka Nini zaidi
Sawa AllyAcha tuone ndo msimu wake wa kwanza tuta taftana misimu mingine kupeana mrejesho.