Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

bhebhe shi..ma mulungu ga hasi agenayo..nali waza aza,damu yane ya za.netogilwe i man u giti matobholwa mjidiku
Obebe Ng'walu ginehe? Yani oleshabikia masamva gaza? Au no bebe ole na masamva?
 
Basi Kumbe unaufahamu mpira! Kwasababu Km unafahamu hivyo vitu ni umeshafahamu mpira!

Alafu Tarehe 3 mwezi ujao tutakua tunacheza na Man City! Usikose kuiangalia hiyo game dada yng na tutakua hapa hapa tukitoa updates live!

Karibu sn kwa Mabingwa watu wenye furaha siku zote!

asante sana rafiki
 
bhebhe shi..ma mulungu ga hasi agenayo..nali waza aza,damu yane ya za.netogilwe i man u giti matobholwa mjidiku

Gashi naga obebe na otale bado gete! Olehaya genago mamilungu! Yaya gete nalemaga gete gete! Onene abatale bane habene nabhakogije gete abo bha lala mmakegela!

Eman U yachile yaja na gogowing'we le Alekisi Fagasoni!

Ng'waluuuu! Yaaaa!
 
Drogba nae yuko Garatasaray ya Uturuki na Recardo Kaka yuko Real Madrid.

Karibu the Blues uwe shabiki wetu kabisa!

Kuna wachezaji wengi wazuri utawapenda tu na wanacheza mpira Km Makelele.
R.kaka yupo ac Milan na sio Madrid
 
lekaga ugunipembela mna ntuzu ebhe..nalitogilwe ili timu lyenilo..nu fagasoni dankubulile
Gashi naga obebe na otale bado gete! Olehaya genago mamilungu! Yaya gete nalemaga gete gete! Onene abatale bane habene nabhakogije gete abo bha lala mmakegela!

Eman U yachile yaja na gogowing'we le Alekisi Fagasoni!

Ng'waluuuu! Yaaaa!
 
asante sana rafiki

Mkuu miss chagga mwambie ndugu mwallu aache kushabikia mashetani wekundu eti anasema ndio miungu ya hapa chini Na eti kwasababu damu yake nyekundu basi Lazima aipende Man Utd! Mwambie aje kwenye Nyumba ya furaha kila siku! Sio misiba kila siku kwai Huko!
 
Last edited by a moderator:
wee..damu yangu sio ya blue
Mkuu miss chaga mwambie ndugu mwallu aache kushabikia mashetani wekundu eti anasema ndio miungu ya hapa chini Na eti kwasababu damu yake nyekundu basi Lazima aipende Man Utd! Mwambie aje kwenye Nyumba ya furaha kila siku! Sio misiba kila siku kwai Huko!
 
lekaga ugunipembela mna ntuzu ebhe..nalitogilwe ili timu lyenilo..nu fagasoni dankubulile

Igashaga ne geko Nkoi! Nakowelaga ele timu ling'we lechile lyaja na Fagasoni no bebe olemmishi nno!
 
Mkuu miss chagga mwambie ndugu mwallu aache kushabikia mashetani wekundu eti anasema ndio miungu ya hapa chini Na eti kwasababu damu yake nyekundu basi Lazima aipende Man Utd! Mwambie aje kwenye Nyumba ya furaha kila siku! Sio misiba kila siku kwai Huko!

mwallu shikamooo chapwa jana vitatu kavu pole mpenzi ..... blue ni nzuri
 
bhebhe kwani o nke oko uluusata oya ugita emilemo yoseyose ugunneka?,nulu uguncholela bhugota apile?
Igashaga ne geko Nkoi! Nakowelaga ele timu ling'we lechile lyaja na Fagasoni no bebe olemmishi nno!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom