Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


Chelsea-v-Manchester-United-Nemanja-Vidic-red_3069547.jpg


United's miserable 3-1 defeat ended with Nemanja Vidic receiving a red card.
 
Ndugu zangu wa Chelsea niliwaambia ushindi kwetu ulikuwa lazima; wanasema hatuna "mastraika" wakali, ni kweli mastraika wetu ni kwa ajili ya timu kongwe:

Man United = timu kongwe; Chelsea Fc timu bora.:boxing:
 
Drogba nae yuko Garatasaray ya Uturuki na Recardo Kaka yuko Real Madrid.

Karibu the Blues uwe shabiki wetu kabisa!

Kuna wachezaji wengi wazuri utawapenda tu na wanacheza mpira Km Makelele.

nani ananguvu kama makelele?
 
nani ananguvu kama makelele?


Kuna viungo wenye ngozi nyeusi mmoja ni mnigeria anaitwa John Mikel Obi Huyu ana nguvu sn tena ukienda hovyo Lazima uning'inie na mwingine Ramires Huyu ni mbrasil ana mwili Wa kawaida lkn king'ang'anizi huyo vibaya! Yani adhibiti mijitu mikubwa sn Km mikina Yaya Toure!

Karibu sn uwe unafatilia game zetu Najua utaipenda tu Chelsea na rangi yetu ya Blue!
 
Kuna viungo wenye ngozi nyeusi mmoja ni mnigeria anaitwa John Mikel Obi Huyu ana nguvu sn tena ukienda hovyo Lazima uning'inie na mwingine Ramires Huyu ni mbrasil ana mwili Wa kawaida lkn king'ang'anizi huyo vibaya! Yani adhibiti mijitu mijibwa sn Km mikina Yaya Toure!

Karibu sn uwe unafatilia game zetu Najua utaipenda tu Chelsea na rangi yetu ya Blue!

naipenda chelsea sana ila tu si mtaalamu mzuri wa mpira zaidi ya chenga, faulo, na penati na kanzu sijui tena
 
tufunge
tufungwe
tu-droo

nitakua a man U fan....forever united..
uone Mentor
 
Last edited by a moderator:
naipenda chelsea sana ila tu si mtaalamu mzuri wa mpira zaidi ya chenga, faulo, na penati na kanzu sijui tena



Basi Kumbe unaufahamu mpira! Kwasababu Km unafahamu hivyo vitu ni umeshafahamu mpira!

Alafu Tarehe 3 mwezi ujao tutakua tunacheza na Man City! Usikose kuiangalia hiyo game dada yng na tutakua hapa hapa tukitoa updates live!

Karibu sn kwa Mabingwa watu wenye furaha siku zote!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom