Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Boss anatafuta nn mifukoni mwake.? Usikute ameweka barua ya kumfukuza kazi Pota akifungwa leo 😁
 
Kwamba Arsenyeto mashabiki zake ni mabongolala kiasi hiki mpaka mnashindwa kujua Silva kaumiaje pale?
Tulia wewe bibi wa kihindi. Mnakomaa kukomaza matako kukomaza miguu hamuwezi
 
Kinachomponza Potter ni mtu anayependa trial n error kila game, hakuna hata game 3 mfululizo team kikosi kile kile kimecheza pamoja katika mechi zinazofatana.

Kila game ni kama tunaanza upya.
 
Sijaangalia mechi za Chelsea kama Tano nyuma zaidi ya kuangalia highlights tu .ila Leo nimejionea kwa nn timu haipati ushindi

Vijana wahajitumi kabisa hapa Bora mason aingie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…