Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
Una judge kocha Kwa matokeo ya siku moja ....Kwa hiyo yule kocha wa Everton anamzidi tactics arteta Kwa Vila alimfunga jumamosi .....peleka utopolo wako hukooHuna heshima hata kidogo, Conte mmemshindwa kabisa unakuja kuleta mpira mbovu hapa wenye kuboa
Ni mechi ngapi mmecheza na Conte? tangu akiwa Cherlsea na sasa SpursWewe ni mjinga una judge kocha Kwa matokeo ya siku moja ....Kwa hiyo yule kocha wa Everton anamzidi tactics arteta Kwa Vila alimfunga jumamosi .....peleka utopolo wako hukoo
Game ya spurs hata conte hakuwa kwenye touchline ...
Mallorca kamfunga Madrid juzi Kwa hiyo Carlo hana mbinu ?
Yaan unalinganisha utopolo conte na the Golden pep gardiola......wewe ni mpumbavu kiwango cha stg [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Fool and rubbish
Ni mechi ngapi mmecheza na Conte? tangu akiwa Cherlsea na sasa Spurs
Halafu wanaume tunazungumzia Conte vs PEP wewe unaleta habari za Malorca na Real Madrid ina uhusiano gani na ninyi kudundwa na Conte. Jadili mada kama mwanume aliyekomaa akili
Sijaziona hizi habari mie mbonaHivi hizi habar Enrique anatakiwa zina ukweli?cc Lembu
Hakuna kitu kama hichoHivi hizi habar Enrique anatakiwa zina ukweli?cc Lembu