Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wewe jamaa Ni Chelsea kweli kweli ,usingizi ulikuwa hupati kabisaJana usiku nililala saa 2 kama nusu, baada ya kupitia page ya Fabrizio twitter, Rui Costa bado amekuwa mgumu. Nikalala
Nikashtuka saa 5 kasoro nikawasha data, nikafungua page ya Fabrizio dah nikakuta mchakato bado mgumu. Nikalala
Nikashtuka saa 10 usiku nikawasha data nikafungua page ya Fabrizio yale mawenge ya usingizi nikaona maandishi makubwa HERE WE GO
Sikuweza kuyasoma yale maandishi mengine madogo ila kushuka chini nikaona picha ya Enzo kwenye uzi wa THE BLUES anatabasamu.
Nikakurupuka kitandani nikashuka chini kushangilia kidogo, nikaenda toilet.
Then Nikachukua simu niisome vizuri hiyo taarifa inasemaje vile kuhusu Enzo.
Dah Chelsea mpya yenye kizazi kipya cha makombe imezaliwa upya.
Ndio maana natamani dirisha kubwa lifike tumalizie kuondoa mabaki ya zamani (Pulsic, Ziyech, Azip, Cheeck na wazee Wa kimila Auba & Koulibaly) ili mwanzo mpya uwe mwanzo kweli kweli.
Kante, Kovacic & Silva hawa wazee ni wa kazi. Kijiji hakikosi wazee wachapa kazi, watiifu na wenye busara kwenye kazi
Twende na Enzo, Felix na MudrykChelsea wanarushusiwa kusajili wachezaji watatu tu kucheza UEFA knock out stage kati ya wachezaji nane waliosajiliwa January hii
Malo Gusto hatakuwepo kwa sababu yuko mkopo Lyon
Andrey Santos naye haruhusiwi kuwepo kwa sababu bado hana permit ya kuchezea Chelsea
Kwa hiyo wanabakia sita wenye kibali cha kuichezea Chelsea na katika hao Chelsea wanatakiwa kuwachagua tu watatu kati ya hawa
Kwa maoni yangu tuwachukue hawa
- Enzo Fernandez,
- Mykhaylo Mudryk,
- Joao Felix,
- Benoit Badiashile,
- Noni Madueke
- David Datro Fofana.
1) Enzo Fernandez
2) Makhailo Mudryk
3) Benoit Badiashile
Hapo sasa itakuwa kuchagua kati ya Badiashile na FelixTwende na Enzo, Felix na Mudryk
Kwenye premier league hakuna shida ila kwa UEFA watatu tu ndio watakaosajiliwa kwenye kikosi cha uefawakuu msaada kdgo Sheria inasemaje kuhusu timu kuwa na wachezaji wengi je watarusiwa kucheza wote .? na kila timu inatakiwa kuwa na wachezaji wa ngapi ?
View attachment 2502875
Sent from my SC-03J using JamiiForums mobile app
ok sawa mkuu nimekuelewa japo apo kwa watatu sijakupata ao watatu walio sajiriwa msimu huu au wachezaji watatu ndio watapunguzwaKwenye premier league hakuna shida ila kwa UEFA watatu tu ndio watakaosajiliwa kwenye kikosi cha uefa
Watatu waliosajiliwa dirisha hili ndio watakaongezwaok sawa mkuu nimekuelewa japo apo kwa watatu sijakupata ao watatu walio sajiriwa msimu huu au wachezaji watatu ndio watapunguzwa
Sent from my SC-03J using JamiiForums mobile app
Panga litakolopita Summer hawatoamini[emoji16][emoji16]Gombania goliView attachment 2502885
Wote wanacheza hao kuna interview moja skysports wameelezea...Chelsea wanarushusiwa kusajili wachezaji watatu tu kucheza UEFA knock out stage kati ya wachezaji nane waliosajiliwa January hii
Malo Gusto hatakuwepo kwa sababu yuko mkopo Lyon
Andrey Santos naye haruhusiwi kuwepo kwa sababu bado hana permit ya kuchezea Chelsea
Kwa hiyo wanabakia sita wenye kibali cha kuichezea Chelsea na katika hao Chelsea wanatakiwa kuwachagua tu watatu kati ya hawa
Kwa maoni yangu tuwachukue hawa
- Enzo Fernandez,
- Mykhaylo Mudryk,
- Joao Felix,
- Benoit Badiashile,
- Noni Madueke
- David Datro Fofana.
1) Enzo Fernandez
2) Makhailo Mudryk
3) Benoit Badiashile
Premier league tu, ila kwa UEFA watatu tu ndio watakaongezwaWote wanacheza hao kuna interview moja skysports wameelezea...
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
SaSa hiyo nafasi y kwanza si mmeshikia wenzenu.Kama Jorginho katoka nafasi ya kumi hadi nafasi ya kwanza, basi hata wewe unaweza kulala masikini na kesho kuamka tajiri, usiache kusali.[emoji120]
Anaweza kuwa backup ya Havertz
Dirisha la january UEFA wanaruhusu timu zilzifaulu mtoano kuongeza wachezaji watatu wapyaok sawa mkuu nimekuelewa japo apo kwa watatu sijakupata ao watatu walio sajiriwa msimu huu au wachezaji watatu ndio watapunguzwa
Sent from my SC-03J using JamiiForums mobile app
Sheria ya UEFA iliyoanza kutumika 2018/19 inasema wachezaji wapya wanaoruhusiwa kuongezwa kwenye squad kwa ajili ya michuano ya mtoano ya UEFA ni watatu tu. Hiyo interview hujaielewa vizuri, ume misunderstand, nina uhakikaWote wanacheza hao kuna interview moja skysports wameelezea...
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app