juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Team ikishakaa stable hizo sajil unazozitaka ndio zitafanyika, na hiyo nikama kuanzia summer ya 2024 hapo ndio kazi yq scouting itakuwa inaonekana matumizi yq kusajil yatakuwa sio makubwa sanaTatizo chelsea hawanaga Plan B, ndio mana mchezaji tunapgwa hela ndefu. Enzo hana thamani hiyo. Ni vile hatuna plan B.
Huko Twitter baada ya Fabrizio kusema here we go Kuna Jamaa cjui n timu gani fala yule akasema anatamani ndege waliopanda iishe mafuta angani
Ivi jamani ziyech pale psg anaenda kuchukua nafasi ya nani kwanza nicheke
Potter mwa miez hii hapa mpk pre season inabidi atuoneshe team itakayopigania ubingwa msim ujao. Atuandalie team yq msim ujao, wachezaj waliopo wengi tunauhakika wakuwepo hapo
Huyo alinisababishia jana nikafungiwa na Twitter masaa 10, anakera anakera sana. na ni mshabiki wa Manure, mbolea kabisa yule
View attachment 2502008
Hiv Datro fofana hajatolewa kwa mkopo?