Huyo hajitambui, Felix ana redcard (dangerous offence/foul) ile ya kutocheza mechi 3,
Nadhani sheria inasema game zinazofuata, hii ya kwako naisikia leo. Sheria ya red card ni suspension na unapopewa adhabu huruhusiwa kuchagua utaitekeleza kivipi. 3 consecutive games until the punishment is over. Huyo tutakutana naye tarehe 11/2/2023 mechi na WesthamUongozi unaweza kuchagua katika michezo hiyo mitatu upi acheze kisha ule mchezo wa nne ambao ungefaa awe free akamalizia adhabu yake.
Nadhani sheria inasema game zinazofuata, hii ya kwako naisikia leo. Sheria ya red card ni suspension na unapopewa adhabu huruhusiwa kuchagua utaitekeleza kivipi. 3 consecutive games until the punishment is over. Huyo tutakutana naye tarehe 11/2/2023 mechi na Westham
Vitu vya wazi nifuatilie ya nini kiongozi kama vile hatuna kazi za kufanyaFuatilia zaidi, endelea kujifunza usiwe mvivu kiasi hicho.
[emoji23][emoji23][emoji23]Vitu vya wazi nifuatilie ya nini kiongozi kama vile hatuna kazi za kufanya
labda kwa Sheria za TFF hizi[emoji1787]Uongozi unaweza kuchagua katika michezo hiyo mitatu upi acheze kisha ule mchezo wa nne ambao ungefaa awe free akamalizia adhabu yake.
Nilichopenda sajil zote mudryk na Madueke wote wanapace + wako vizuri kwenye 1v1+ driblingUchezaji wake umefanana kidogo na Allan Saint-Maximin wa Newcastle
Acha utani mkuu, kama mchezaj humjui ni bora usiseme loloteHuyu dogo kama uongozi umemsajili kwa sababu ya uraia na umri wake basi ila kama ni tofauti na hivyo ni hamna kitu kabisa.
W enzo lee fee ni mzur sanKuna jamaa kwachambua baadhi ya Midfilders na kuonyesha jinsi Caicedo kwa bei hiy hatatufaa
Hata Enzo Fernandez tulikuwa tunatupa pesa za bure kwa kudanyangwa na award ya WC
Kwa analyssis yakle hapo chini Orkun Kokcu ni mturuki mwenye miaka 22 tu anaichezea klabu ya Feyenoord kule kwa Wadachi. Scout team kwa nini wasiomuone mchezaji kama huyu.
Yeye ni mzuri kwenye Attacking zaidi ambayo ndio eneo mojawapo la hovyo kwa wachezaji tulionao wa kiungo
View attachment 2487773
Tatizo lake ni injury prone 😥😥😥😥😥Acha utani mkuu, kama mchezaj humjui ni bora usiseme lolote
Kumbuka wanasajiri kupitia zile hela zao ambazo wamenunulia timu hazitoki mifukoni mwao tusubiri baada ya miaka 5 mbele ndo tutajua rangi zao vizuriWakat Roman Abramovich anatangaza kuuza team, watu wengi walisema ndio mwisho wa kutumia pesa Chelsea. Yani watu wakawa wanasema hatuna uwezo wa kwenda toe to toe na hawa wakubwa kwenye issue ya pesa.
Wengine wakawa wanasema mmeisha kwa kupata wamarekani
Boehly-Clearlake wanachokifanya sasa kila mtu anauliza ffp iko wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba Chelsea tunaiga long term project for competitive winning team by next two or three coming years kwa Arsepimbi [emoji848][emoji16][emoji1787]View attachment 2487811
Ya mbele itajieleza yenyewe na pesa ziwe zao au za kununua timu sio issue, sisi tunachojali usajili umeenda vizuri na huko unakosema ya miaka mitano tutakuwa na timu hatari ambayo kila mchezaji kinara atapigania kuja Chelsea. HAwa maono yao pia ni kuwa na academy nzuri yenye kuwatoa wachezaji wazuri badala ya kutegemea kununua wachezaji ghali. Chelsea pia itanunua vilabu sehemu mbalimbali duniani ili kusaka vipaji kwa bei nafuuKumbuka wanasajiri kupitia zile hela zao ambazo wamenunulia timu hazitoki mifukoni mwao tusubiri baada ya miaka 5 mbele ndo tutajua rangi zao vizuri
Pia wana deni la ujenzi wa uwanja ktk makubaliano waliyo wekewa baada hapo sijui kama kutakuwa na usajiri wa namna hii tena huku wakiamini project yao itakuwa inafanya kazi vizuri
Wapumbavu wamekariri siku zote Wamarekani ni Waha/Wapare kuhusu pesa kumbe si kila aishiye karibu na mahakama atakuwa anajua sheria [emoji28]Wakat Roman Abramovich anatangaza kuuza team, watu wengi walisema ndio mwisho wa kutumia pesa Chelsea. Yani watu wakawa wanasema hatuna uwezo wa kwenda toe to toe na hawa wakubwa kwenye issue ya pesa.
Wengine wakawa wanasema mmeisha kwa kupata wamarekani
Boehly-Clearlake wanachokifanya sasa kila mtu anauliza ffp iko wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama wanataka kupiga pesa lazima wa mwage pesa.Kumbuka wanasajiri kupitia zile hela zao ambazo wamenunulia timu hazitoki mifukoni mwao tusubiri baada ya miaka 5 mbele ndo tutajua rangi zao vizuri
Pia wana deni la ujenzi wa uwanja ktk makubaliano waliyo wekewa baada hapo sijui kama kutakuwa na usajiri wa namna hii tena huku wakiamini project yao itakuwa inafanya kazi vizuri