Na ogopa sana reporter anayeripoti taarifa za timu moja tu. Huyu Christian Falk anaripoti sport news za Bayern Munich tu ni kama yule wa Barcelona anayeitwa Gerard Romero. Wengi wao ni waongo na utakuta hapo akiripoti timu zingine ni kwa kupotosha kwa faida ya timu yake. Kumbuka pia Bayern walikuwa wanamtaka sana Havertz na hadi sasa wanmvizia tu akikosa amani Chelsea wamchukueHuyu Christian Falk simuamin tena na hizi habar zake ni kama Nizaar Kinsela.
Nakumbuka wakat Havertz anakuka aliwah sema mount amechukia ujio wa havertz[emoji1787][emoji1787] kuanzia hapo naona kila habar yake ni chache sana zinakuwa reliable n zinakuwa reported na hawa tier 1
Chelsea mnataka kutengeneza timu mpya kabisa ya vijanaBen Jacobs anaripoti kuwa Chelsea wamesubmit £65m kwa ajili ya kumsajili Moises Caicedo dirisha hili. nao Brighton wamegoma wanataka £75m
View attachment 2487613
Hii dili ishaanza kuwa ngumuBen Jacobs anaripoti kuwa Chelsea wamesubmit £65m kwa ajili ya kumsajili Moises Caicedo dirisha hili. nao Brighton wamegoma wanataka £75m
View attachment 2487613
Potter unamuona hana maisha marefu pale darajaniChelsea mnataka kutengeneza timu mpya kabisa ya vijana
Sema naona project yenu atakayekuja kutembea nayo vzr ,sio Potter ni kocha mwingine kabisa
Kwa hiyo Potter ni Yohana MbatizajiChelsea mnataka kutengeneza timu mpya kabisa ya vijana
Sema naona project yenu atakayekuja kutembea nayo vzr ,sio Potter ni kocha mwingine kabisa
Ule upande wa ziyech hatimae tumepata mtu sasa[emoji16][emoji16]Chelsea strike Madueke deal
Chelsea have reportedly agreed a deal with PSV Eindhoven for Noni Madueke worth up to £34million.
According to ED in Holland, the 20-year-old English winger is poised to sign for the Blues.
View attachment 2487971
Vijogoo.Asenali vipi?
Line up tarajiwa 4-2-3-1 yenye kuonyesha rotaion candidatesUle upande wa ziyech hatimae tumepata mtu sasa[emoji16][emoji16]
Hizi sajili zikiperform, msim ujao tutahitaj marekebisho machache sana
Chelsea kubwa sana kwake ,na hivi analetewa wachezaji wazuri, nani atamtetea tena akizinguaKwa hiyo Potter ni Yohana Mbatizaji
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cheki watani wetu wanavyotutania
Eti hiyo ndio squad ya Chelsea kuanzia msimu wa 2022/23 kwenda mbele
Uchezaji wake umefanana kidogo na Allan Saint-Maximin wa NewcastleMadueke to chelsea deal done.
Tuhamie sasa kwa kiungo sasa tupate mmoja .
Fagio litakalopita summer litakuwa lakutoa virusi wote na wale wemye mishahara mikubwa ambayo haiendani na thaman ya pesa wanayopokea