Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

jino kwa jino na Arsenal kwa Mykhailo
Anakuja Arsenal ,wanachofanya Shakhtar Ni biding war
, Kwa mujibu wa Telegraph hii ishu Kama ya Raphina tu ,nategemea kesho ,Chelsea kuweka bid ya €100m


Halafu Chelsea mmekuwa na fujo Sana aise

Jamaa wanasema hawawez kutuuzia Bei ndogo Wakati Kuna wachezaji wabovu Kama Anthony na Grealish wameuzwa €100m
 
Tusubiri tuone
 
Same issue Kama ya Raphina

Mimi huyu mchezaji Sina wasiwasi kabisa ,anakuja Arsenal ,

Hili mnaenda kuaibika Kama kwa Raphina

Yupo Mitandaoni ana like tu Post za Arsenal
 
ngoja tuone
 
wanaset mazingira ili kukuza price ya mchezaji
 
Sidhan kama tunaweza toa 100M, kama kwa Enzo tumeshindwa kulipa RC yake, unahis kweli tutaoa hiyo?? Benfica wanataka €120M ila Vivel ambaye ni Technical director kapeleka 80[emoji23][emoji23][emoji23]

Saiv Shakhtar nikama wanajaribu kuwaforce mtoe hela wanayoitaka.
Hapo tukienda ni 50+ 20 add ons or 60 fixed +20add ons
 
Wachezaji walioko majeruhi na tarehe ya kurudi kwa leo 5/1/2023

Jumla ya majeruhi = 5
  1. Reece James, majeruhi ya goti - anarudi tarehe 03/02/2023 - Ruled out
  2. Wesley Fofana, majeruhi ya goti - anarudi tarehe 08/01/2023 - Ruled out
  3. N'Golo Kante, majeruhi ya paja -anarudi tarehe 04/03/2023 - Ruled out
  4. Armando Broja - majeruhi ya goti - hakuna muda maalumu wa kurudi - Ruled out
  5. Edourd Mendy - Majeruhi ya bega - anarudi tarehe 15/1/2023 - Ruled out
 
Wanachonifurahisha hoja Yao Ni Anthony wa man u wanamuona average Sana ,why auzwe €100m[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shakhtar wahuni tu wale[emoji23] yani wameona ndio njia yakupiga pesa,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…