Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,435
tunaonge ya epl ya laliga tanatoka wapi ???? kama kigezo chako ili kuw pride of somewhere basi liver ni pride of engalnd then tunafuata red devilsSisi ndo wenye London kwa sababu hawa wote wamebaki kushangilia UCL kwa wengine..sisi tumechukua; hawa wote wadogo zetu:
-Arsenal-Spurs-QPR-Bolton-Westham-Fulham-C.Palace etc.
Kuhusu nje ya Uingereza tafuta takwimu za Man Utd vs timu za La Liga kwanza alafu tutaongea.
tunaangalia mafanikio tuna makombe ya ulaya 3 na mamkombe ya ligi 20,nitajie timu yako imetuzidi makombe gani hapo???ww acha umbulula Man u kwa timu gani? hiyo?
tunaangalia mafanikio tuna makombe ya ulaya 3 na mamkombe ya ligi 20,nitajie timu yako imetuzidi makombe gani hapo???
CHELSEA FC
-UCL = 1
-EUROPA LEAGUE = 1
-WINNERS CUP = 1
*Chelsea ndiyo timu pekee ya Uingereza iliyowahi kuchukua makombe hayo yote. Sisi pia tunaheshima kubwa Ulaya kama tu Man Utd na Liverpool bila kuwasahau Nottingham Forest(ambao wamechukua mataji mawili ya Ulaya, enzi za zamani)
Hakuna aliyewazidi kwenye ligi Man Utd = 20, Liverpool 18, safi sana..kutaja la liga maana yangu ni kwamba nyinyi mmefungwa sana na timu za Hispania kuliko sisi.
Miaka ya nyuma mlikuwa vibonde Champs league mlikuwa mnaisikia, mmecheza game chache sana na timu za Spain ukilinganisha na Man United.Unakumbuka mlivyofungwa goli 5 na Barca ya kina Figo
tumefika fainali mara nyingi na barcelona iliyokuwa katika ubora wake,messi alikuwa hashikiki unategemea nini hapo????Hakuna aliyewazidi kwenye ligi Man Utd = 20, Liverpool 18, safi sana..kutaja la liga maana yangu ni kwamba nyinyi mmefungwa sana na timu za Hispania kuliko sisi.
tumefika fainali mara nyingi na barcelona iliyokuwa katika ubora wake,messi alikuwa hashikiki unategemea nini hapo????
Nakumbuka: Waulize pia wao tulipowachapa bakora 4-2 pale darajani. Pia waulize tulivyowatandika na kuwatoa kwenye nusu fainali tukielekea kwenye ubingwa: Nimeweka takwimu za Barca vs Chelsea kule; Chelsea Fc thread katazame.
5 na 4 zinafanana?
Hazifanani lakini zinakaribiana!
La muhimu ni kwamba Chelsea Fc imemfunga Barcelona kwenye CHAMPIONS LEAGUE kuliko Man Utd na Arsenal. Ukweli unauma.
Mwanzo umesema timu za Spain now umehamia kwa Barca,Messi kutoifunga Barca sio issue kuna timu nyingine ni vibonde still Messi hajazifunga.Mmewafunga Barca mara nyingi but Barca amekuwa,na bingwa mara 4 while nyie mara 1na ukumbuke Man United amechukua kombe kwa kuifunga Chelsea
Kiboko yenu Falcao na Atletico Madrid,au mmesahau?Barca usiongee,maana Rivaldo aliapa mlipowapiga 3-1 darajani 2000(sidhani kama unakumbuka)kuwa chelsea ikimtoa Barca anatundika madaluga na akaahadi kufunga na akawafunga,nyie bado msilingie UCL 1 mliyokuwa nayo na kujitapa na nyie vidume,nyie bado sana hamjafikia saizi ya Man Utd na Liverpool kwa England,mimi ni spain damu ila England najua timu zenye rekodi za kimataifa ni 2 man Utd na Liverpool,achana na rekodi zako sijui winners cup,liko wapi hilo kombe wameyafuta makombe ya kwenda kuchuana Wigan,Levante,Limasol,Drinpro sijui,unakuja na kelele nyingi.Unakubali kimya kimpya: Mwaka huu itaeleweka tu;
Sisi ndo wenye London kwa sababu hawa wote wamebaki kushangilia UCL kwa wengine..sisi tumechukua; hawa wote wadogo zetu:
-Arsenal-Spurs-QPR-Bolton-Westham-Fulham-C.Palace etc.
Kuhusu nje ya Uingereza tafuta takwimu za Man Utd vs timu za La Liga kwanza alafu tutaongea.
Kiboko yenu Falcao na Atletico Madrid,au mmesahau?Barca usiongee,maana Rivaldo aliapa mlipowapiga 3-1 darajani 2000(sidhani kama unakumbuka)kuwa chelsea ikimtoa Barca anatundika madaluga na akaahadi kufunga na akawafunga,nyie bado msilingie UCL 1 mliyokuwa nayo na kujitapa na nyie vidume,nyie bado sana hamjafikia saizi ya Man Utd na Liverpool kwa England,mimi ni spain damu ila England najua timu zenye rekodi za kimataifa ni 2 man Utd na Liverpool,achana na rekodi zako sijui winners cup,liko wapi hilo kombe wameyafuta makombe ya kwenda kuchuana Wigan,Levante,Limasol,Drinpro sijui,unakuja na kelele nyingi.