[emoji1787]Mimi sasa nitaanza kufuatilia kabumbu la akina dada na mmi nimpate Ronaldo wangu huko wa kum admire
Hizi kenge zinazidi kunenepeana tu humu.Hivi nyie humu mnajadili nini cha maana View attachment 2440672
Tulia lamba dawaMabrazil yamemuangusha Tiago Silva. Kuanzia kila lao takataka kabisa
Hahahahaja sasa uyu Cucurella sijui apo alikuwa ana fanya maombi au 🤣🤣🤣🤣Tulia lamba dawaView attachment 2441237
First team ni wachezaji wanne tuTusijifanye tupo bize ,tumedundwa huku View attachment 2443462
[emoji23][emoji23][emoji23]Tupo na DeschampsView attachment 2447215
Wale WA pauni nyingi waliinunuliwa na Chelsea sina hakika km tumenufaika nao Sana zaidi ya kuishia kuflop au wanashindwa kudeliver km tulivyoexpect..Bora sajili za design hii hapa Chelsea nawapa big upUnaweza ukakuta wachezaji kama hawa ndio wanakuja kulipa kuliko wale wa Mil 100. Ana miaka 19 tu na kashafunga magoli 21 na assists 7 msimu huu na bado haujaisha. Atakuja fuata nyayo za Didier Drogba
View attachment 2447747
View attachment 2447749