Hakuna cha angalau, hao safari tayariKabisa Mkuu.
Angalau Mane angekuwepo angeweza japo kusawazisha ili wadraw.
Jamaa Mendy amewaponza Senegal.
Sasa uyo fofana kacheza mechi ngapi na amesajiliwa juzi tuNaomba kufahamu hali ya majeruhi wetu, recovery zao zinaendeleaje?
1. Kante
2. James
3. Chilwell
4. Fofona
5. Keppa
6. Kovacic
Wanaweza kurudi kikosini baada ya kombe la dunia?
Kama hawataweza bora uongozi wa klabu uandike barua mapema kwenda FA kujitoa kwenye EPL.
Sasa kama mipira yote inarudishwa kwa kipa, foward watapataje mipira. Kazi y chalobah ni kurudsha kwa kipa, ni beki wa hovyo kuwahi kutokea.Kama nilivyosema huko nyuma
Wachezaji wetu wengi wa mbele wanafanya vizuri wasipovaa jezy ya Chelsea
Sterling for England
Havertz for German
Batshuayi for Belgium
Timo Werner for German
Hakim Ziyech for Morocco
Na bado wengine
Chelsea yetu kuna mchawi pale kwenye jiko, hawapiki vizuri, tukubali hilo
Kopcha naye kachangia. Mfano Sterling tulikuwa tunaenda naye vizuri na TT kaja Poteter kajifanya fundi zaidi anampachika Sterling nafasi za hovyo hovyo mara Wingback mara LW mara RW
KOcha pia kafanya hivyo kwa baadhi ya wachezaji wengi
Mfano pia Koulibaly anacheza vizuri kwenye backline ya 4 ila kocha yeye analazimisha backline ya 3. Cheek pamoja na kuwa sio mzuri sana ila akicheza kwenye kiungo mshabuliaji anakuwa mzuri sana kuliko mara Wing back mara DM
Wachezaj wanaokuzunguka ndio wanaokufanya uonekane bora, haland anaweza kuwa na touch chache uwanjan ila utakuta kascore,Kama nilivyosema huko nyuma
Wachezaji wetu wengi wa mbele wanafanya vizuri wasipovaa jezy ya Chelsea
Sterling for England
Havertz for German
Batshuayi for Belgium
Timo Werner for German
Hakim Ziyech for Morocco
Na bado wengine
Chelsea yetu kuna mchawi pale kwenye jiko, hawapiki vizuri, tukubali hilo
Kopcha naye kachangia. Mfano Sterling tulikuwa tunaenda naye vizuri na TT kaja Poteter kajifanya fundi zaidi anampachika Sterling nafasi za hovyo hovyo mara Wingback mara LW mara RW
KOcha pia kafanya hivyo kwa baadhi ya wachezaji wengi
Mfano pia Koulibaly anacheza vizuri kwenye backline ya 4 ila kocha yeye analazimisha backline ya 3. Cheek pamoja na kuwa sio mzuri sana ila akicheza kwenye kiungo mshabuliaji anakuwa mzuri sana kuliko mara Wing back mara DM
[emoji23]Hakuna cha angalau, hao safari tayari
Tuchelewe alitimuliwa kwa sababu ya kukataa kumsajili Ronaldo.Tod Boehly na wenzake waachane kabisa na issue ya Ronaldo wasijaribu kumleta huyu,
Wamwachie Potter aandae tim anayoitaka na wachezaj watakaoendana na style yake,
Player anayehisi ni mkubwa kuliko team ni wakuwaweka mbali,
Kama kweli tuko serious na kuandaa tim ya ushindani basi tuachane na hizi tetes/usajil Ronaldo mara moja,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu boss wa Chelsea anaendesha timu Kama The Grazzer Family,Tuchelewe alitimuliwa kwa sababu ya kukataa kumsajili Ronaldo.
Boss kaamua kuwaletea kocha ambae kila kitu atachomwambia jibu lake ni "Yes Boss"
Boehly sasa hivi hata akitaka kumsajili Mkude Harry Potter anajibu "Yess Boss"
We jamaacomments zako huwa zinanchekesha sanaKwenye kikosi tunao wazee wa kimila 4 (Koulibaly, Azip, Auba & Silva)
BOEHLY akimleta na mzee CR7, itabidi hawa wazee watusaidie kufanya matambiko.
Offside,
Taarifa kutoka kwa reliable source, zinasema hawana mpango wa kumsajil CR7Tuchelewe alitimuliwa kwa sababu ya kukataa kumsajili Ronaldo.
Boss kaamua kuwaletea kocha ambae kila kitu atachomwambia jibu lake ni "Yes Boss"
Boehly sasa hivi hata akitaka kumsajili Mkude Harry Potter anajibu "Yess Boss"
Ronaldo mzuri, tatizo lake hilo ulilolesama, ana brand kubwa na popote akiwemo anataka awe mkubwa hata kuliko kocha na mwenyekiti wa bodi. Hata ashushe mshahara hadi 50,000 kwa wiki hakuna timu kwenye ligi kubwa atakayemtaka kwa sababu hiyo. Kilichobaki kwa Ronaldo ni kwenda china, USA au Uarabuni. Hata akiamua kutundiga madaluga na kuwa kocha atasota sana kwa hiyo mentality yake ya kujua sana kuliko wengineTod Boehly na wenzake waachane kabisa na issue ya Ronaldo wasijaribu kumleta huyu,
Wamwachie Potter aandae tim anayoitaka na wachezaj watakaoendana na style yake,
Player anayehisi ni mkubwa kuliko team ni wakuwaweka mbali,
Kama kweli tuko serious na kuandaa tim ya ushindani basi tuachane na hizi tetes/usajil Ronaldo mara moja,
Ukubwa mkuu unatofautiana unapokuwa na jina kubwa ni rahisi kusemwa tofauti na unapokuwa na jina dogoMendy amesemwa sana
Je goalkeeper wa Argentina yeye mbona kachomesha goli la kwanza hasemwi?