Msimu uliopita walishinda nini hawa wachezaji? Ushindi wa ujanjaujanja wa 1 bila unafikiri unafunction kwenye marathon? Niambie huyo kocha unayemsifia kuanzia second round ya msimu uliopita alishinda big match ngapi?Hawa wachezaji si ndio walitupa Uefa super cup na la dunia inakuwaje leo hii tunasema wabovu TT aliwezaje kuwafundisha
Kama shida ilikuwa hapa why TT alifukuzwa na hakupewa mda wa kutengeneza hiyo timu unaamini Potter anauwezo wa kutufikisha mbali hata akipewa mdaKushinda uefa ndio kunatupambaza, hatutaki tukubal almost ¾ ya wachezaj tulionao hawafai kuwepo hapo.
Tumeshinda uefa then what next je tumeonesha muendelezo mzuri au ndio ushindi ilimradi ushindi,
even tuchel mwenyewe aliongelea shida inayotusumbua, View attachment 2408628
TT apewe heshima yake hata kama alikuwa na shida sehemu mafanikio aliyotupa hakuna kocha alifundisha Chelsea kayapataMsimu uliopita walishinda nini hawa wachezaji? Ushindi wa ujanjaujanja wa 1 bila unafikiri unafunction kwenye marathon? Niambie huyo kocha unayemsifia kuanzia second round ya msimu uliopita alishinda big match ngapi?
Sawa
Me ni mmoja kati ya watu niliokuwa namtetea kila siku tuchel humu ndani, nikiamini wachezaj tulionao hawafai.Kama shida ilikuwa hapa why TT alifukuzwa na hakupewa mda wa kutengeneza hiyo timu unaamini Potter anauwezo wa kutufikisha mbali hata akipewa mda
Umenena Ukweli,Chief Acha blah blah hapa hazisaidii, Ingia sokoni Sajili wachezaji wenye viwango vikubwa vya kuvaa jezi ya THE BLUES.
Hawa waliopo ndani ya uwanja na benchi ni wastage of time.
Kwa sasa THE BLUES hatuna kikosi chenye wachezaji wa maana wa kutufanya mashabiki tujimwambafai.
Kumbuka katoka kumwaga £300m Juzi tu hapaTODDY BOEHLY aondoe wachezaji wote bure, asajili upya tuanze kujenga timu upya na sio kujenga timu kwa kupitia wachezaji hawa tulionao kwa sasa.
Uko sahihi kabisaTT apewe heshima yake hata kama alikuwa na shida sehemu mafanikio aliyotupa hakuna kocha alifundisha Chelsea kayapata
Unamwaga 300M huku ukiwa unaplan zingine, ni wastage of money hapo,Kumbuka katoka kumwaga £300m Juzi tu hapa
Upo sahihi ,hiyo £300m Kama kaitupa jalalani tuUnamwaga 300M huku ukiwa unaplan zingine, ni wastage of money hapo,
Huwa nasema why uspend 300M huku ukiwa unajua huyo kocha utamfukuza, yani unamsupport kocha kwenye usajil huku ukijua kwamba utamfukuza kwa kutokuwa na maono sawa na wewe, hizo hela ni kama hatujafanya kitu. Tunaonekana wabovu kuliko hata msim uliopita
Kuna msiba mzito huko kwenu.[emoji16][emoji16][emoji16]sasa uyu nae alikuwa anafanya nini hapa kamkumbatia mtu muda wote utadhani mmewe.View attachment 2408569
Vita ya Russia na Ukraine imesababisha yote hayaUnamwaga 300M huku ukiwa unaplan zingine, ni wastage of money hapo,
Huwa nasema why uspend 300M huku ukiwa unajua huyo kocha utamfukuza, yani unamsupport kocha kwenye usajil huku ukijua kwamba utamfukuza kwa kutokuwa na maono sawa na wewe, hizo hela ni kama hatujafanya kitu. Tunaonekana wabovu kuliko hata msim uliopita
ameliwa na funza tena daah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]GUNNERS foreverUmesajili replacement ya Lukaku haya Auba ameongeza nini kwenye ufungaji?
Umesajili Cucurela mbadala wa Alonso, tunamiss Alonso kwenye kuassist na kufunga magoli.
Cucurela anacheza kama ameliwa na funza, ukiniambia anafanya nini uwanjani hata sielewi. Bora hata asipande juu abaki tuu chini aruke ruke.
Yani hakuna afadhali kabisa alonso alikuwa anatusaidia kwenye kushambulia na kufunga pamoja kukaba ilikuwa shidaUmesajili replacement ya Lukaku haya Auba ameongeza nini kwenye ufungaji?
Umesajili Cucurela mbadala wa Alonso, tunamiss Alonso kwenye kuassist na kufunga magoli.
Cucurela anacheza kama ameliwa na funza, ukiniambia anafanya nini uwanjani hata sielewi. Bora hata asipande juu abaki tuu chini aruke ruke.
acha tupigweee tuuu maana huyu kocha ni *****, hivi kati ya makocha wote duniani huyu ndio tuliona ni kocha????Daah hii dunia haiko fair, tar 9 jumatano tunaenda kuchakatwa tena na city.
Nilisema pale hatuna kocha watu wakasema yule ni mwamba haswaa.
Kocha gani anakuwa na poor selection ya first eleven?, unaingiza watumishi hewa kibao huku unajua unaenda kucheza na timu inayohitaji uwe na ulinzi shirikishi?.
Naendelea kumlaumu Putin, Ukraine na washirika wake maana wametuondolea Bepari wetu Roman Abromovic ambaye kamwe asingevumilia upuuzi huu.