Tulia mpakwe kilainishi umbwa nyie[emoji1787]Hahahaha[emoji23]
Sasa wazee mnatutukana tumewakosea nini?
Kwani kuna ambaye alishasema timu yetu ina uwezo wa kuifunga Arse8?
Mnatuonea bure tuu.
Kutesa kwa zamu.
Mpaka kesho nitailaumu vita Ukraine, Roman asingevumilia huu unyanyasaji wa kudumu.
Deep Pond siyo Arse8 ni mamluki wa liverkuku na leo kinyoleo kinamuhusu ni muda tu.Hahahaha[emoji23]
Sasa wazee mnatutukana tumewakosea nini?
Kwani kuna ambaye alishasema timu yetu ina uwezo wa kuifunga Arse8?
Mnatuonea bure tuu.
Kutesa kwa zamu.
Mpaka kesho nitailaumu vita Ukraine, Roman asingevumilia huu unyanyasaji wa kudumu.
The day madogo hapa walipotubishia kwa kutuambia kuwa Pulisic ni replacement ya Hazrd ilikuwa ni kituko sanaSanaaaaa chief mpaka leo hatujapata replacement ya Fab na Hazard.
Hazard alikuwa anatupa kujiamini muda wowote anaweza kuamua mechi.
Sasa hivi THE BLUES kule mbele hatuogopeshi, tunatia huruma.
Kwa hiyo unaamini tatizo sio wachezaji ni kocha? Aliyemleta huyo Sterling si ni huyo TT. Narudia tena kuwaambia washabiki type yako hata aje Guardiola kwa hawa wachezaji wasioweza hata kuhold mpira kwa sekunde 10 tutamuona ni chenga. Timu inazidi kuporomoka kwa misimu kama minne hivi ila bado tunakaza fuvu na kuamini tatizo ni makocha sio hawa championship playersKosa kubwa kumuondoa Tuchel yule bonge la kocha alitakiwa apewe muda aweke mambo sawa. Rahem kama hawezi kucheza mbele akae bench sio kumpa wing back. katika lazima wacheza watatu hii 4222 haifai
Hata aje guardiola kwa wachezqj hawa ambao hawawez piga hata pass 5,yan kila mchezaj anaogopa kukaa na mpira ,utamuona hafaiDaah hii dunia haiko fair, tar 9 jumatano tunaenda kuchakatwa tena na city.
Nilisema pale hatuna kocha watu wakasema yule ni mwamba haswaa.
Kocha gani anakuwa na poor selection ya first eleven?, unaingiza watumishi hewa kibao huku unajua unaenda kucheza na timu inayohitaji uwe na ulinzi shirikishi?.
Naendelea kumlaumu Putin, Ukraine na washirika wake maana wametuondolea Bepari wetu Roman Abromovic ambaye kamwe asingevumilia upuuzi huu.
Raheem Sterling leo kazingua sana kukaa na mipira muda mwingi na kunyang'anywa hovyoKosa kubwa kumuondoa Tuchel yule bonge la kocha alitakiwa apewe muda aweke mambo sawa. Rahem kama hawezi kucheza mbele akae bench sio kumpa wing back. katika lazima wacheza watatu hii 4222 haifai
Hawa wachezaji si ndio walitupa Uefa super cup na la dunia inakuwaje leo hii tunasema wabovu TT aliwezaje kuwafundishaKwa hiyo unaamini tatizo sio wachezaji ni kocha? Aliyemleta huyo Sterling si ni huyo TT. Narudia tena kuwaambia washabiki type yako hata aje Guardiola kwa hawa wachezaji wasioweza hata kuhold mpira kwa sekunde 10 tutamuona ni chenga. Timu inazidi kuporomoka kwa misimu kama minne hivi ila bado tunakaza fuvu na kuamini tatizo ni makocha sio hawa championship players
Huyu chakanoris ndo anae tuumiza hawezi hiyo timuHawa wachezaji si ndio walitupa Uefa super cup na la dunia inakuwaje leo hii tunasema wabovu TT aliwezaje kuwafundisha
Kushinda uefa ndio kunatupambaza, hatutaki tukubal almost ¾ ya wachezaj tulionao hawafai kuwepo hapo.Hawa wachezaji si ndio walitupa Uefa super cup na la dunia inakuwaje leo hii tunasema wabovu TT aliwezaje kuwafundisha
Rudi kwenye pre season tuch3l alivyokuwa analalamika baada ya kufungwa goal 4 na Arsenal, sianajua wachezaj ni wale wale waliompa uefa,super cup,cwc, why alisema hivi wakat ni same player waliompa mafanikio??? BobbyrayHawa wachezaji si ndio walitupa Uefa super cup na la dunia inakuwaje leo hii tunasema wabovu TT aliwezaje kuwafundisha