juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Hata kuanza upya maybe director na jopo la usajili lipewe power kuliko kocha I can't imagine TT alisugest Sterling na Cucurella na 75£ kwa fofana yaani tumenunua wachezaji wabovu kuliko waliopo. Kwa kiwango hiki wachezaji wazuri tutawasikia redioniTutakuja kubaliana, shida huwa sio kocha bali ni wachezaj wetu.
Mpk tutakapokubali hapo na tukatatua matatizo tuliyonayo, ndio tutaweza anza kupigania makombe
Kwa sasa tuanze upyaaa tu, kwa wachezaj tulionao wakishatanguliwa tu hawawez kuequalize, au kufanya comeback ujue tunashida.
Tuna shida ya creativity,
[emoji115]Mmetomb*** vizuri kabisa
Ata wangeongeza dakika 20 za nyongeza mngeendelea kutomb***
In short mtaendelea sana kutomb*** kwa mpira wenu wa ujanja ujanja
OllaChuga Oc
Ww si ndio ulikuwa unaipamba hii timu ukasema inacheza vizuri na salzburg nikawambia inashinda kwa bahati hamna kituNext kwenye league
Arsenal (H)
Newcastle (A)
Nilisema mpl tunaenda world cup tutakuwa njee ya top 4, na isitoshe huenda tukawa nje ya top 6 mpk tunaenda world cup
Tukishatanguliwa zaidi ya goal 1 huwa hatuwez chomoa, huu ni ugonjwa tulionao.
Chelsea ikipanda zaidi ya ilipo sasa ni miracle AU usajili wa maana ufanyike January. Kwa hii hii timu hatufiki mbali kwenye EPL na UCLLigi bado sana ndugu, hata uwiano wa point kuzidiana sio mkubwa sana
Haya makosa alikuwa anafanya Tuchel mpaka wachezaji wakawa wanalalamika Potter naye anarudia yaleyaleJamani hii ndio Chelsea tuliyonayo na uchezaji wake ndio huu
Tumeumizwa leo kupitia kwenye wings, Potter kaweka mawinga wawe mabeki unategemea wachezeje?
Kuna wachezaji kama Sterling ukimchezesha out of position usitegemee kitu
What next, Arsenal and Newcastle. Kwa timu hii mlenda tusitegemee makubwa
Top 4 naona imeshajiset to default. Sisi tusipoangalia hata top 6 tunaweza kosa
Game zinabadilika mkuu kuna game huenda ukacheza vizuri game ijayo ikawa hovyo, tukicheza vizuri nitasemaWw si ndio ulikuwa unaipamba hii timu ukasema inacheza vizuri na salzburg nikawambia inashinda kwa bahati hamna kitu
Nafikiri unaona hii aibu niliokwambia kocha naye aeleweki kwenye kupanga kikosi kila siku hana first 11
Naona ni wachezaj wenyewe, ukiangalia potter wakat yuko brighton wale wakina Trossars unaona kabisa ni kama wingback ila majukumu ya uwanjana yanabadilila sasa wachezaji wetu hawatak kufata hayo majukumu.Haya makosa alikuwa anafanya Tuchel mpaka wachezaji wakawa wanalalamika Potter naye anarudia yaleyale
Wote taka taka tuUkiwaangali Brighton walivyocheza na Liverpool m City unaona kabisa quality ya wachezaj ndio iliyoamua hizo game,
Ila huku kwetu wachezaj wenye quality ni wa kuhesabika
Kenge wewe njoo uku [emoji23][emoji23][emoji23]Tumezingua kinyama. Ngoja nizame zangu chimbo
Kma TT Alikuwa anafanya haya makosa basi kuna shida kubwa sana kwenye timu yetu mwalimu akisha ingia tu Chelsea anapigwa na ujinga basi tu haiitaji kocha mpya tena na tujiondoe kwenyw makombe tucheze kma Leeds tuHaya makosa alikuwa anafanya Tuchel mpaka wachezaji wakawa wanalalamika Potter naye anarudia yaleyale
Shida ni wachezaji, mchezaj anaweza mshawishi kocha akipewa nafas ile ile anazingua,Kma TT Alikuwa anafanya haya makosa basi kuna shida kubwa sana kwenye timu yetu mwalimu akisha ingia tu Chelsea anapigwa na ujinga basi tu haiitaji kocha mpya tena na tujiondoe kwenyw makombe tucheze kma Leeds tu