Hiyu nae ni Jorgihno wa kingereza, back pass 800.Declan Rice Info
Age: 23yr
Position Defensive Midfielder (DM)
Salary per week: £156,000.
Contract expiry: June 2023
Contract renewal: Stalling
Possible suiters: Chelsea FC
Stats 2022
- Matches 10
- Goals 1
- Assists 2
- Yellow cards 2
- Red cards 0
Hao manjestaa walimkalisha yule arse8 ambao walikukalisha wewe kuku🤣🤣🤣 kwaiyo usiwachukulie poa manjestaaChalii yangu OllaChuga Oc ana habari kuwa mlidraw na wale nyumbu??
Yaani manjesta ndio wa kudraw nao kweli?
Kuna Koudao Kone yuko pale Monchengladbach, Enzo Fernandez yuko Benfica na Alvarez yuko pale AjaxDeclan Rice Info
Age: 23yr
Position Defensive Midfielder (DM)
Salary per week: £156,000.
Contract expiry: June 2024
Contract renewal: Stalling
Possible suiters: Chelsea FC
Stats 2022
- Matches 10
- Goals 1
- Assists 2
- Yellow cards 2
- Red cards 0
Baada ya jana kumsifia huyo Bruno, media zimeweka tetesi kuwa Chelsea wamemuweka naye kama targetHuyu Bruno Guimaraes ameitransform kiungo ya New Castle, very creative. Amesababisha yale matakataka ya zamani ya New Castle sasa wanacheza kandanda safi
Hii ndio tunasema hata hapa Chelsea, wanaotuchelewesha ni akina Jorgninho, Kova na Cheek. Sio wabunifu kabisa hata kama wakicheza vizuri. Viungo wasioweza kutengeneza nafasi au kuanzisha mashambulizi BURE KABISA
Newcastle vs Spuirs 2-0 - Wamewazidi Conte mens kila kitu
View attachment 2395720
Huyu akienda city hata madrid atangaa.
Ulikuwa unakatika viuno tu, Saint wakupapase.Nyie kenge,muje kuangalia soka linavyochezwà na sio ile VUVULUVAVALA yenu ya jana ....
LONDON IS [emoji1630][emoji837]🟥 ALWAYS
DING DONG.
Lete timu yako kama hatujakuzima.Sikujua kama na nyinyi ni wabovu kiasi hiki
Haaland 17 goalsHaaland goals 15
Chelsea Goals 16
Tunatakiwa kufanya mageuzi makubwa kwenye ufungaji
Soka tumeliona na matokeo yakawaje?Nyie kenge,muje kuangalia soka linavyochezwà na sio ile VUVULUVAVALA yenu ya jana ....
LONDON IS [emoji1630][emoji837]🟥 ALWAYS
DING DONG.
Kwan Nyie mpo top 4?[emoji23][emoji23][emoji23]Na bado[emoji1787][emoji1787]
Manjesta walimkalisha na yyHao manjestaa walimkalisha yule arse8 ambao walikukalisha wewe kuku[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwaiyo usiwachukulie poa manjestaa
Duh Mzee sio kweli aisee hizo nadharia Tu[emoji1787]Mimi nimeshangaa leo imekuwaje Aston Villa kashinda 4-0 kumbe Gerald katimuliwa tangu juzi
Wachezaji wa EPL sasa wanaambukizana wakishamchoka kocha wanaacha kucheza vizuri. Kumbe zile mbwembwe za Mings kupiga kichwa kama anacheza Laleyo ya kimasai ilikuwa ni part of the move kumtoa Gerald
Naye Gerald kadai Aston Villa haikuwa size yake
Kilakitu inaanzia nadharia halafu inakuja kuwa halisiDuh Mzee sio kweli aisee hizo nadharia Tu[emoji1787]
17 in all competitions, mimi nilirefer EPL tuHaaland 17 goals
In all competitions ni 22 goals17 in all competitions, mimi nilirefer EPL tu
Wavamizi FcKwan Nyie mpo top 4?[emoji23][emoji23][emoji23]
Umefuraaaahi ila tulikatandika vibaya hako kadogo kenuIn all competitions ni 22 goals
EPL 17 ,uefa 5
Tulimtandika City,nyie wahuni mtatuambia niniLete timu yako kama hatujakuzima.