Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Unajua TT ilikuwa lazima aondoke tu maana matajiri nao wana falsafa yao pia kila mtawala ana watu wakeSaint Anne Mashabiki wenzangu wengi wa Chelsea hakuna wanalojua kuhusu mpira wao wanataka ushindi tu. Mpira ni mbinu ukizidiwa unapigwa kweli kweli kama mlivyopigwa jana na Napoli[emoji1787][emoji1787]
Potter Hatatoboa misimu 2 au 3 kabla hajafukuzwa.
Hapa tunaongelea kocha wa kutupa kombe ndani ya msimu 1 kabla hajafukuzwa.
Huko misimu 3 mbali sana hatafika.
THE BLUES haiwezi kumvumilia kocha msimu 1 au 2 bila kombe
Tayari kashasign mkataba. Na sasa ndio kocha wa chelsea. Chelsea wamemtangaza chelsea kuwa kocha wao.Graham Potter atasign mkataba wa miaka 5 kama tetesi zinavyosema,
Ndg huyo mchezaji wa kawaida sana atakuja kocha mwingine utaanza kuwaimba ziyech,harvest, pulisic,mount hata jitu mwitu lukaku Hawa wachezaji waangalie wakiwa national team wanaubonda kweli kweliGraham Potter kwenye dirisha la Januari amchukue Alexis Mac Allister kutoka hapo Brighton. Bonge la kiungo aisee
Ndg huyo mchezaji wa kawaida sana atakuja kocha mwingine utaanza kuwaimba ziyech,harvest, pulisic,mount Hawa wachezaji waangalie wakiwa national team wanaubonda kweli kweli
Akilogwa akapanga Joghinho katikati, achukui wiki mbili kibarua atakua hana.Graham Potter kwa falsafa yake ya uchezaji pamoja na wachezaji anao wakuta atafanya jambo kubwa.
Heee makubwa, ndio kwanza nackia? Ana homoni za kike au?Lakini si wanasema huyo dogo Gilmour ana matatizo ya kihomoni.
Contract ni 5 yrs, ndio aliyosign, usitegemee msim mmoja hapoPotter Hatatoboa misimu 2 au 3 kabla hajafukuzwa.
Hapa tunaongelea kocha wa kutupa kombe ndani ya msimu 1 kabla hajafukuzwa.
Huko misimu 3 mbali sana hatafika.
THE BLUES haiwezi kumvumilia kocha msimu 1 au 2 bila kombe
Wengi ilikuwa 3yrs hakuna aliyezidi zaidi ya hapo .Hata hao makocha waliotangulia kufukuzwa walisign mkataba zaidi ya mwaka 1.
DM wake alikuwa Moises caiceldo, McAllister alikuwa anacheza juuMac Allister ni kiungo mkabaji
Dressing room huwa hamna support ya wamiliki, it is so delicate kiasi kwamba ni mzigo wa kocha peke yake, akitibua ni kufukuzwa tu hata kama ni wachezaji ndio wabaya, wachezaji wanaochafua dressing room anatakiwa kocha kuwanyamazishe au kuwaondoa mara fursa ikitokea bila kuwaambukiza wengine. Mara nyingi makocha wabishi ndio wanaoharibu dressing room kama mbinu wanazotoa hazieleweki au haziungwi mkono na wachezaji maarufu ambao wanapewa support na wachezaji wa chini. mfano mzuri Man U aliyekuwa anaizamisha timu pale dressing room wa kwanza ni Pogba akanondoka bado kuna wachawi wengine lakini sio RonaldoKwa msim 1 huenda asilete ila kwa misim 2-3 atakuwa ashaleta,
Shida ni dressing room kama ataweza idhibiti au akapata support ya wamiliki anaweza tupa mafanikio
Unaweza shangaa Havertz akaibukia kwa Graham Potter ukampenda bureTT alinikera tu alivyomuuza Gilmour, bora hata kafukuzwa. Angefukuzwa tu na watoto wake jorgihno na Havertz.
Abadilishe uchezaji, ule umlenda mlenda utoweke kabisaOfficial, confirmed. Graham Potter has been appointed as new Chelsea manager. [emoji599][emoji838] #CFC
“Chelsea Football Club is delighted to welcome Graham Potter as our new Head Coach, joining us on a five-year contract to bring his progressive football and innovative coaching to the Club”.View attachment 2350382
Graham Potter anatumia sana hii mifumoPotter auendeleze mfumo wa ulinzi shirikishi 3-4-3 kumfichia Jorginho madhaifu yake.