juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Sasa huko mmeenda kufanya nini ikiwa hata Zagreb tu anawafunga? [emoji23]Umefurahi mwenyewe wewe subiri futuhi ndio level yenu
Huyu si ndo mliyekuwa mnamsifia humu, kila kitu mkawa mnadakia "TT" [emoji23].Kwa mechi ya jana kwa kocha bora ilikuwa kuwachezesha madogo e.g Chukwuemeka, Broja n.k + masenior wachache na timu ingepata matokeo.
Ila TT masikio mbawala hakuna kocha pale, anajidai ana mbinu kumbe ni feki feki, timu kufunga goli ni kubahatisha.
Timu inashindwa cha kufanya uwanjani wanaishia kupiga pass tuu hence ball possession laki 2.
DuuuhNyie cheltako mchukue lampanyoko awashushe daraja waja laana nyie
TT hajui kuunda timu. Ila anaweza kutumia timu liyosukwa tayari.Tuna kikosi kizuri sana. Wachezaji wenye potential si chini ya wawili wapo kwenye kila position. Tuchel sio kocha mbaya, lakini naona ameshindwa kutwist mfumo wake kuwafit vyema wachezaji waliopo kwenye kikosi. Hii itatucost mno na itamcost yy pia kibarua chake before december
Wabongo sijui huwa tunataka nini?Kosa jingine boehly-clearlake wanafanya, huwez kufukuza kocha whilehuna DOF,
Kulikuwa na lengo gani la kuspend 250M kwenye transfer uje umfukuze kocha siku 6 zijazo baada ya dirisha kufungwa.Vipi kuhus usajili wa Auba ambae amekuja coz ya hitaji lq kocha??
Kuna vitu huenda tutakuwa atuvijui nyuma ya pazia,
If ni dressing room kupoteza, hii shida itaendelea kutafuna makocha wengi mpk hapo uongozi utakapoacha kuwaskiliza wachezaj,
Hii itaendelea kutokea hata aje nani
Tumefukuza kocha bila kuwa na plan ya nani atakaemrith
Kocha gani mzuri ambae yuko free kwa sasa?
Enrique n Flick hawawezi acha majukum yao ya tim za taifa kwa sasa isitoshe world cup ipo karibu,
Pochetino hapana,
Zidane????
Graham Potter ni kocha mzuri ila nikocha anaehitaji mda na project inayoeleweka.
No Coach
No DOF
Circus continue.............
Kwa hii comment yako Lampard ali deserve more time kwa sababu aliikuta timu ina ban na bado akafanya vizuri kabla ya kuanza kufanya vibaya.Tuchel kafukuzwa, tunarudi kwenye cycle ile ile, tutaplay good mpk mwisho mwa msim then tutarudi kwenye default.
Inavyoonekana alikuwa kapoteza dressing room, ila ni weird decision tuliyoifanya kumfukuza nadhan mwez huu tungempa tuone hali ingekuwaje.
Seem boehly-clearlake hawakutaka kusubir mpk hali itakapokuwa mbaya
Chelsea imekosea sana kumfukuza kazi TT, yaani game 6 tu anafukuzwa kocha?Chelsea imemfuta kazi Kocha Thomas Tuchel baada ya timu hiyo kuwa na mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha tangu kuanza kwa msimu huu
Chelsea ni ya 6 katika msimamo wa Ligi Kuu England ikiwa imecheza michezo 6 na kupoteza miwili huku ikianza vibaya Klabu Bingwa Ulaya kwa kufungwa na Dinamo Zagreb
Tuchel aliwasili Stamford Bridge mwaka wa 2021 kuchukua nafasi ya Frank Lampard na kuanza vema kwa kushinda Klabu Bingwa Ulaya ndani ya miezi 6
====
Taarifa ya Klabu [emoji1484]
OFFICIAL: Chelsea part company with Tuchel
Chelsea:
On behalf of everyone at Chelsea FC, the Club would like to place on record its gratitude to Thomas and his staff for all their efforts during their time with the Club.
Thomas will rightly have a place in Chelsea’s history after winning the Champions League, the Super Cup and Club World Cup in his time here.
As the new ownership group reaches 100 days since taking over the Club, and as it continues its hard work to take the club forward, the new owners believe it is the right time to make this transition.
Chelsea’s coaching staff will take charge of the team for training and the preparation of our upcoming matches as the Club moves swiftly to appoint a new head coach.
There will be no further comment until a new head coach appointment is made