Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Umeongea Point TT anafanya wachezaji wanakuwa na presha sana wanakosa kujiamini kabisa
 
EXCL: Chelsea recruitment chief Scott McLachlan has left club. Gone on own terms to take up exec-level role elsewhere in football. Last day yesterday - 3 months gardening leave. Goes with #CFC blessing after 11 years integral to operation @TheAthleticUK
 
Odoi kuanzia kipindi cha Sari, Lamps na TT amekaa nje ya uwanja zaidi ya siku 300 kutokana na majeruhi. Kwa kipindi cha TT akirudi kutoka majeruhi, Odoi hakuingia tu golini kudaka lakini nafasi zingine zote za uwanjani alicheza [emoji23][emoji23]. Sasa hapo mtu atatoa mchango wa kueleweka kweli? You become a jack of all treads but master of none.

TT alimlaumu BG kwamba hakufanya kile alichotarajiwa kukifanya. BG angefanyia wapi hicho alichotarajiwa akifanye wakati hata preseason alifukuzwa first team akaenda kucheza na under 17.
 
TT ni bonge la fala, kumuuza Gilmour imefanya nimchukie sana.
 
Only position alizowah pelekwa ni Rwb/Lwb, Rw ashawah cheza Europa League wakat Hazard bado yupo hata kwenye game dhid ya burnley aliyoumia alikuwa Rw,


Sasa unaposema positio. Zote kacheza zipi hizo na ilikiwa game ipi ambazo TT alimpanga odoi tofaut ma position nilizotaja hapo juu

Mbona hata hamjamlaum billy, in short billy hakuwa na loan nzuri norwich sio kama loan aliyokuwa nayo Galagher o broja palace n southamptom respectively, so ilitakiwa billy aende tena loan msim huu before hajaingi kwenye mid yetu. Ila billy hakutaka kwenda mkopo.
Cheki hiyo pic

View attachment 2344914
View attachment 2344916
 
Lampard kaja msim wa 2019/20- 2020/21 january katika kipindi alichokaa lampard odoi kamiss game zisizozidi 15 ty katika all competition, .


Nitajie positio aliyopangwa odoi tofauti na hizi lw,rw,rwb/lwb , na ilikuwa game gani alichezeshwa nje ya hizo nafasi
 
So mendy pale alishindwa kuudaka ule mpira ??? Kuna tumakosa mendy anafanya leo ashukuru VAR, tofaut na hivyo ule mpira alikuwa anadaka sio wa kupangua
It means mshikaji angemruka tu lingekuwa goal.
 
Kesho mchizi boti fanya kweli piga zile mbuzi arse8.[emoji23][emoji3][emoji3]
Umeona Leo wewtham amekaa ..wewe huyiogopi Chelsea wewe?
Ila mchizi boti, jana ilikua bado kidogo maiti angemng'ang'ania sheh.

Maana mpaka dakika ya 70 mulikua tia maji tia maji.

Mushukuru yule Havart na kigoli chake cha bahatisha ndulute.

Ila big 4 mutaisikia kwenye tahatifa ya habari tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…