Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mendy kaparuzwa mikono na hapo hapo kapigwa kifuani, hawa watangazaji mandazi wanakazana hakupigwa, kwa mara ya kwanza VAR imetenda haki akiwemo MIchael Owen
 
Vieiara oyeeeee πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈ
 
Afadhali points 3 zimechukuliwa nyumbani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈ
 
Ivan Toney hatrick, goli 3 dhidi ya Leeds, tungemchukua huyu mwamba, andetusaidia sana na yuko 26 tu
 
Kwa jinsi tulivyocheza first half, Pale hata Auba atoboi.

Next ni dhid ya Dynamo Zagreb.
Tatizo la Chelsea Chilwell ametuonyesha wazi, hakuna dynamicity wala kudhubutu, mipasi ya sideways, backward passes hadi dk zinapotea hadi mpinzani wako anakusoma udhaifu wako. Chelsea wanaremba mpira hadi ikafika 70% possesion halafu Westham wanatusanifu tu. Kona hadi kumi tunasanifiwa tu, wao wamepata moja wakaforce hadi ya tatu ikaleta goli. TT abadili hili, sio wachezaji ndio wa kubadilisha, kocha atoe maagizo, tucheze kandanda la kuthubutu, Auba asipopelekewa mipira hatafunga
 
Last season tulikuwa vizuri kwenye set pieces ila msim huu tunapata kona nyingi ila tunashindwa kutumia.

Broja aendelee kupata nafasi, kwa dakika alizocheza kuna kitu anaoffer,
 
Kuna mafala uwa wanakuandama leo hawatatokea kwenye group la wanaume [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Dah nawakeraga kinoma ..siunajua Mimi Ni mzee wa kukera ..Sasa Leo naenda wakera kinoma adi wajute kunijua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…