juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Hao Bonamouth walihonga kuja EPL nadhaniNyie Chelshit mmeona wenzenu tunavyokinukisha???
Siyo nyie tubao tuwili tu akina Ollachuga.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Vijana wamenifurahisha sana wamevuja jasho kweli kweli ,nimeagiza sharubati ya komamanga iniburudishe .ila nusu ya mshahara wa KAI angepewa James ni wizi kabisa .Chelsea leo wamekuwa wazalendo kweli kweli, pungufu na bado matokeo yakawa mazuri
Sikuweza kucheki baada yaa dk ya 40 ila nadhani tumecheza kizalendo kweli kweli
Kai ni flop anayetembea na goal la ucl, tofauti na hivyo hakuna analolifanya.Vijana wamenifurahisha sana wamevuja jasho kweli kweli ,nimeagiza sharubati ya komamanga iniburudishe .ila nusu ya mshahara wa KAI angepewa James ni wizi kabisa .
Galagher leo kacheza vizuri kabla ya kupewa Red, naamini form yake ikirudi yeye na Mount watachangia sana kwenye kuhakikisha Sterling anafunga mabao mengi angalau kabla hatujasajili kiungo mbunifu zaidi yao. Tukipata striker kama Auba japo hatamfikia Haland au wale wa Liverpool lakini angalau tutafunga . Tunaweza fanya vizuri zaidi ya city au Liverpool kama tutaimarisha defense ili hata tukishinda goli moja liweze kulindwaNasema tim yetu haina watu wakuamua matokeo,
City game ya 2 mfululizo anatoka nyuma , leo kashinda,
Tutaendelea hapa kuangaika na kocha ila hatuna watu wa kuamua matokeo. Na ndio shida yetu kubwa iko hapo tunashindwa kumaliza game
Hizi team za hovyo utakuta inapigwa na Kila mtu ikukutana na sisi sasa inafufukia kwetu ,nimeshasoma trend ya team za hivi.Hao Bonamouth walihonga kuja EPL nadhani
Hiyo nafasi apewe Broja akomae naye hadi form yake ikue, Kai arudi Leverkusen akanyanyase ligi ndogo ya one team contenderKai ni flop anayetembea na goal la ucl, tofauti na hivyo hakuna analolifanya.
Hahahaha munamuotea muvimba macho ..piga Leicester goli izo 😂😂🤣🤣🤣Nyie Chelshit mmeona wenzenu tunavyokinukisha???
Siyo nyie tubao tuwili tu akina Ollachuga.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Acha uoga wewe ..Liga bado Sana hiiKwa hii form ya Man city, Liverpool na Chelsea ya mwaka huu Arsenal atangazwe bingwa tu
Tuliza shangazi tuliaaa ..bao moja linatia mimbaaaHii cheltako bora mngeungana na putin tu kuivamia Ukraine mpira hamuuwezi
Halafu hata akicheza vibaya kocha hamtoi kabisaKai ni flop anayetembea na goal la ucl, tofauti na hivyo hakuna analolifanya.
Kambi ya wakimbizi ama..
Hapo ndipo tuchel anaponishangaza.Halafu hata akicheza vibaya kocha hamtoi kabisa
Wewe nyumbu tangu uifunge liverkuku unaona mupira umemaliza tayari. Sisi tunapeleka moto tu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni mwendo wa kula umeme tu.
Kabla ya mechi niliwatahadharisha kabisa, hizi kenge Epl zinataka kuigeuza kua ni ndondo cup.
Nani mwoga, hilo jiwe limerushwa kwa watu fulani huko wewe unadandiaAcha uoga wewe ..Liga bado Sana hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi team za hovyo utakuta inapigwa na Kila mtu ikukutana na sisi sasa inafufukia kwetu ,nimeshasoma trend ya team za hivi.
Hakuna cha kuvuja jasho wala nini ni vile tu Leicester wamekuwa viazi slow football na EPL tutaendelea kucheka mechi 1 ya pili matusi mpaka tuache kucheza kitotoVijana wamenifurahisha sana wamevuja jasho kweli kweli ,nimeagiza sharubati ya komamanga iniburudishe .ila nusu ya mshahara wa KAI angepewa James ni wizi kabisa .
Tuna talented wings na midfields ambazo team nyingine wanatamani kuwa nao ,lakini hapa kwetu hawafungi peleka ziyech,pulisic,Conor ,mount ,odoi team nyingine hata Kwa mkopo January uta terminate hiyo loan nakwambiaHakuna cha kuvuja jasho wala nini ni vile tu Leicester wamekuwa viazi slow football na EPL tutaendelea kucheka mechi 1 ya pili matusi mpaka tuache kucheza kitoto