No excuse. Tumecheza vibaya sana leo, tulistahili kufungwa.
Wachezaji karibu wote walikuwa kwenye kiwango cha chini sana. Tumepoteza nafasi muhimu ya kupanda juu ya msimamo. Ligi inaendelea lakini
Come on Blues, KTBFFH
Liverpool anakwenda kileleni leo.Kazi kwenu kupanua gap kama mtaweza.
Liverpool anakwenda kileleni leo.
Day dreaming!Liverpool anakwenda kileleni leo.
Sawa mkuu. Usije kupotea tu.Thubutu zake, anapigwa 2-0 arudi kuogelea kwenye bwawa la maini.
Tuendelee kuwepo tu jamvini. Just two hours to come.Day dreaming!
Wacha1..........njoo uwaone hawa #mburukenge wanavyong'oa viti hapa, kha?!
Nasubiri game yetu ndo nirudi hapa ... Hahaha maana match za Leo utata mtupu
Usiwe na wasiwasi Mkuu tunapiga mtu 2-0 kunyamazisha vidomo domo vyote maana hata watu ambao sijawaona kipande hii juzi niliwaona nikabaki kushangaa tu.
Umetisha!Thubutu zake, anapigwa 2-0 arudi kuogelea kwenye bwawa la maini.
Liverpool anakwenda kileleni leo.
Sawa mkuu. Usije kupotea tu.
Mi naona Suarez 2, Sturridge 1.