Huyo hatakuwepo December2022Ili turudi back 4 tunahitaj 1CB na 1Dm wa nguvu mwenye uwezo kulinda backline yake o kucover nafas ya CB anapoenda shambulia
Jorginho hawezi fanya hii kazi,
Wakat tutakaposajili new Dm ndio tutakaporudi kwenye back 4 ila kwa sasa tukisema turudi tutaendelea kuwa exposed mpk tukome.
Kama tulivyokuwa exposed kwenye game ya arsenal pre season
Gorginho namkubali Sana Ni DM wakisasa , nataman aje arsenal ,acheze juu ya back 4 , yupo vzr kwa pass ,kwa style play yetu anatufaa, hata pep alimtakaga Sana .Ili turudi back 4 tunahitaj 1CB na 1Dm wa nguvu mwenye uwezo kulinda backline yake o kucover nafas ya CB anapoenda shambulia
Jorginho hawezi fanya hii kazi,
Wakat tutakaposajili new Dm ndio tutakaporudi kwenye back 4 ila kwa sasa tukisema turudi tutaendelea kuwa exposed mpk tukome.
Kama tulivyokuwa exposed kwenye game ya arsenal pre season
Jambo jema sana hili,ila pia wakumuwaisha pia nayo hatari nyingine.Kova nasikia kaanza mazoezi na atakuwepo kwenye mechi ijayo
Chukua bureGorginho namkubali Sana Ni DM wakisasa , nataman aje arsenal ,acheze juu ya back 4 , yupo vzr kwa pass ,kwa style play yetu anatufaa, hata pep alimtakaga Sana .
Gorginho kwa falsafa za Tuchel labda mnamuona mbaya, au mnataka DM wale wagumu, wanaopiga tackle nyingi., But nowdays mpira umebadilika ,
CF wakusimama atafuniwe Hana msaada
No.10 asiyekaba na kukimbia Sana Hana msaada
Fullback asiyeshambulia Hana msaada
DM asiyejua kupiga pass kwa usahihi na kuvunja line ya mpinzani Hana msaada
GK asiyejua kuanzisha mpira Hana msaada e.g Degea
Cheltako chelwowowo chelyatima cheljuma lokole mnafuga matako tu uwanjani hovyo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kocha mzuri ana tweak style yake ya ucheza ili kuhakikisha viwango wa akina Lukaku, Werner, Ziyech, Havertz , Sterling vinaleta manufaa Kwa timu. TT kashindwa hiyo
Kuna uwezekano hata sajili tunazofanya hazitaleta manufaa
343 haina attacking midfielders ambazo ndizo zingewafaa. Formation hiyo inawatumia Central midfielder kama DM kwa ajili ya kuzuia na ndio maana baada ya Kova na Kante kukosekana pale pameoza. Jorginho hawezi kukaba na hao wengine including Mount, Gallagher, RLC, Havertz wanaweza kushambulia tuKwann Mount na Kai wanachezeshwa kama wingers? Anayejua anifahamishe.
Hawa watu hawastaili kucheza kama Winger kabisa. Kuwachezesha kama mawinger ndiyo inatuletea matokeo negative.
Natamani TT abadiki wachezaji kwa main positision zao
343 haina attacking midfielders ambazo ndizo zingewafaa. Formation hiyo inawatumia Central midfielder kama DM kwa ajili ya kuzuia na ndio maana baada ya Kova na Kante kukosekana pale pameoza. Jorginho hawezi kukaba na hao wengine including Mount, Gallagher, RLC, Havertz wanaweza kushambulia tu
Styerling (LW) --------- Havertz (F no. 9)--------- Mount (RW)
Cucurella (LWB)-Kovacic (CM) -Kante(CM) -James (RWB)
Koulibally (CB ) ------ Silva(CB) ------- Azpilicueta (CB)
---------------- Mendy (GK)-------------------